Tanesco Sacos yafanya mkutano wa mwaka na kuchagua viongozi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi Felchesmi Mramba akipitia hutuba kabla ya kufungua mkutano akiwa mgeni rasmi. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),...
View ArticleYANGA YAWASILI DAR BAADA YA KUTOLEWA KOMBE LA MAPINDUZI
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akiwa na Danny Mrwanda wakiwasili kutoka Zanzibara kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo timu ya Yanga ilitolewa katika hatua a robo fainali kwa kuchapwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA 2015 IKULU...
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Balozi wa Vatican, Francisco Montecillo Padilla wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka mpya aliyowaandaliwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa...
View ArticleMwanza walitaka Tamasha la Pasaka
Na Mwandishi Wetu WAKAZI wa jiji la Mwanza na Kanda ya Ziwa wameiomba Kampuni ya Msama Promotions inayoandaa Tamasha la Pasaka na Krismasi kuwapa nafasi ya upendeleo kwa kuwapelekea tamasha...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM KIMEKUTANA LEO MJINI ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA CHALINZE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (katikati) akikabidhi gari jipya la kubebea wagonjwa (Ambulance), kwa Mganga Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Dk. Mastidia Rutaihwa kwa ajili ya Kituo cha Afya...
View ArticleOFISI YA WAZIRI MKUU YATEMBELEA MIRADI YA CDA
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Regina Kikuli (mwenye gauni la kitenge) akisiliza maelezo ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi inayotekelezwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA),...
View ArticleNMB YAKABIDHI FULANA KWA AJILI YA SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANZIBAR
Meneja wa NMB tawi la Darajani Zanzibar, Abdalla Duchi (kushoto) akikabidhi jezi za mpira wa miguu kwa ajili ya timu ya wawakilishi kwa Mwakilishi wa Rahaleo, Nassor Salumu 'Jazira' (wa pili kulia) kwa...
View ArticleCOASTAL YAANZA KUANDAA SILAHA ZA KUIANGAMIZA POLISI MORO
Wachezaji wa Coastal Union wakisalimiana na wachezaji wa Mombasa Kombaini kabla ya mchezo.Na Mwandishi wetuTIMU ya Coastal Union imesema kuwa umuhimu wa timu hiyo kufanya vizuri kwenye mechi yao na...
View ArticleCRDB Lumumba yaanza mwaka kwa kuwakumbuka wahitaji
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB, Tawi la Lumumba, katika picha ya pamoja na watoto wenye ulemavu, wanaolelewa katika kituo cha Jeshi la Wokovu, Kurasini jijini Dar es Salaam. Wafanyakazi wa Benki ya CRDB...
View ArticleTANESCO YAWAFARIJI YATIMA WA KITUO CHA CHAKUWAMA
Na Mwandishi WetuMKUGENZI wa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima na Wasiona (Chakuwama), Hassan Hamis, ameishauri jamii kujikita zaidi katika kuwasidia watoto yatima ili kuwaepusha na ukosefu wa maadili...
View ArticleCCM LINDI YAKUTANA KUWEKA MIKAKATI MIZURI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akitoa salaam za pongezi kwa wananchi wa kijiji cha Kilangala B kata ya Kilangala kwa kuipa ushindi CCM kwenye uchaguzi serikaliza mitaa...
View ArticleRIDHIWANI AANZA KUTIMIZA AHADI, AWASHUKURU WANANCHI KWA KUMCHAGUA CHALINZE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Diwani wa Kata ya Miono. Senguli Mbele moja kati ya matairi manne aliyonunua kwa ajili ya gari la kubebea wagonjwa katika Kituo cha Afya cha...
View ArticleKILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono wananchi wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika kilele cha Sherehe...
View ArticleWATANZANIA WAANZA VIZURI MASHINDANO YA TENIS KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI
Emmanuel Mallya wa Tanzania akirudisha mpira kwa mpinzani wake wakati wa mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya mchezo wa tenis katika viwanja vya Gymkana jijini Dar es Salaam. Emanuel...
View ArticleKONYAGI WATEMBELEA MASHAMBA YA WAKULIMA WA ZABIBU DODOMA AMBAO WATOTO WAO...
Mratibu wa Mpango wa Kampuni ya Konyagi wa kuwasomesha watoto wa wakulima wa zao la zabibu kwa masomo ya Sekondari Saimon Chibehe (katikati), akitembelea hivi karibuni shamba la zabibu la Festo...
View ArticleKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN CASMIR MINJA AMPANDISHA CHEO MWANARIADHA,...
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja, akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumpandisha cheo koplo, Catherina Lange kuwa Sanjenti wa Jeshi la Magereza.Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja,...
View ArticleKAMATI KUU YA CCM ILIPOKUTANA ZANZIBAR
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai leo alipofika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui...
View Article