Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM KIMEKUTANA LEO MJINI ZANZIBAR

$
0
0
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiwa kwenye ukumbi wa mkutano wa kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Januari 11, 2015  Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa (kulia), akifungua kikao cha Kamati Maalum ya CCM kilichokutana leo Januari 11, 2015 Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzaibar. Katikati ni   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal na Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal wa tatu kulia, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wakiongoza wajumbe wa Kamati Maalum kusimama kwa dakika moja kumkumbuka Marehemu Fatma Othman Ali aliyekua mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM aliyefariki hivi karibuni, kabla ya kuanza kwa kikao cha kamati maalum ya CCM kilichifanyiaka leo Januari 11,2015 Ofisi kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili kulia, akifungua kikao cha Kamati Maalum ya CCM kilichokutana leo Januari 11, 2015 Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui mjini Zanzaibar. Wa tatu kulia   Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai kulia na Mjumbe wa Halmashauri kuu na Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. (Picha na OMR)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>