KAMANDA MPINGA ATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MITANDAO YA KIJAMII
MpingaNa Mwandishi WetuKAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani (Trafic), Mohamed Mpinga (pichani), ameonya wamiliki wa mitandao ya kijamii kuacha kusambaza taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi na...
View ArticleKINANA AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA TANGA,AWASHUKURU WATANZANIA KUIPATIA CCM...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
View ArticleWAAMUZI 18 WA FIFA KUTOKA TANZANIA WAKABIDHIWA BEJI ZAO LEO
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akizungumza wakati wa hafla ya kuwakabidhi beji waamuzi wapya wa FIFA kutoka Tanzania kwa mwaka 2015. Hafla hiyo imefanyika leo katika Ofisi za...
View ArticleTUKIO LA KUTEKWA ALBINO WATU 15 MBARONI, SRERIKALI YASEMA HAKUNA KULALA MPAKA...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mulowola akitoa taarifa ya uchunguzi hadi sasa kuhusu tukio la kutekwa kwa mtoto Pendo Emmanuel (Albino) na watu wasiojulikana toka tarehe Desemba 27 mwaka...
View ArticleUWEKAJI JIWE LA MSINGI NYUMBA JESHI LA WANANCHI (JWTZ)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Nyumba za Makaazi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa...
View ArticleKUNDI LA NG'OMBE LAVAMIA HIFADHI YA WANYAMAPORI SIKONGE
Na mwandishi wetu, Sikonge Kundi kubwa la Ng’ombe limevamia eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori (WMA), Ipole wilayani Sikonge mkoani Tabora ikiwa ni muendelezo wa wafugaji kukiuka sheria za...
View ArticleMwenyekiti wa Chadema, atema Cheche kwa RC Njombe
Na Bryceson Mathias, aliyekuwa Njombe MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Njombe, Ally Mhagama (Dkt. Sagasaga), ametema cheche akisema, “Sitahudhuria Vikao vya Mkuu wa...
View ArticleMICHUANO YA TAIFA YA NETIBOLI YASHIKA KASI
Mfungaji wa timu ya Temeke, Fatuma Mchenga akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Dodoma, katika mashindano ya Taifa ya Netiboli kwenye Uwanja wa Sigara Chang'ombe jijini Dar es Salaam....
View ArticleCOASTAL UNION YAANZA KUITAFUTIA DAWA POLISI MOROGORO
NA MWANDISHI WETU, TANGATIMU ya Coastal Union “Wagosi wa Kaya”imeanza maandalizi kabambe kujiandaa na mechi yake ya Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara dhidi yao na Polisi Morogoro itakayo chezwa...
View ArticleMKUTANO WA CHADEMA MUSOMA
Mbunge wa Jimbo la Musoma mjini Mkoa wa Mara, Vincent Josephat Kiboko Nyerere, akihutubia wananchi wa Musoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Mukendo mjini Musoma juzi.
View ArticleMAELEZO BADILISHENI MFUMO WA UTOAJI PRESS CARD
WASOMAJI na wadau wangu nawasalimu na naimani kuwa Mwenyezi Mungu ametujalia tumeuona mwaka mpya wa 2015 salama salmini. Nawatakia heri na fanaka katika mwaka huu pia na karibuni tena katika porojo...
View ArticleCOASTALA UNIONI KUKIPIGA NA MOMBASA KOMBAINI KESHO
TIMU ya Coastal Union “Wagosi wa Kaya”kesho wanatarajia kucheza mechiya kirafiki na timu ya Mombasa Combain ikiwa ni kukipa makali kikosihicho kabla ya kucheza mechi zake zinazofuata za Ligi kuu ya...
View ArticleSTARS MABORESHO, RWANDA KUCHEZA MWANZA JAN 22
Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kitacheza mechi ya kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda itakayofanyika Januari 22 mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.Mechi hiyo ni sehemu ya...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE AAHIDI KUTATUA TATIZO LA UMEME, MAJI KIWANGWA,CHALINZE
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa ujenzi kutoka Kambi ya Mzinga ya JWTZ, Aloyce Mayunga (kushoto) alipokwenda kukagua ujenzi wa maabara ya...
View ArticleDimpoz ajipanga kwa albam
Na Mwandishi WetuMKALI wa muziki wa Bongo fleva, Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' anatarajia kusambaza albamu yake ya kwanza Februari akiwa na lengo la kuwaburudisha wapenzi wa kazi zake.Akizungumza jijini...
View ArticleMkubwa Fella apania kurejesha soko la albam
Mkubwa Fella MKURUGENZI wa taasisi ya muziki wa Bongo ya Mkubwa na Wanawe, Said Fella 'Mkubwa Fella' amesema kuwa, kwa kutumia ukongwe wake katika tasnia hiyo, atahakikisha anarudisha soko la albamu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA JUMUIYA YA UWEKEZAJI NCHINI LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Uwekezaji Vitega uchumi Nchini (Cti) Dkt. Samuel M. Nyantahe wakati Ujumbe wa...
View ArticleWAZIRI WA VIWANDA ATEMBELEA MACHIMKBO YA CHUMA LIGANGA NA MAKAA YA MAWE...
Waziri wa Viwanda na Biashara akutana na wafanyabiashara wa Mkoani Njombe na kuzungumza nao fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa huo mara baada ya kupokewa na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Dkt. Rehema...
View Article