Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article


POLISI MARA YAZUIWA KUCHEZA UWANJA WA KARUME MUSOMA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeizuia timu ya Polisi Mara kutumia Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Musoma kwa mechi zake za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kuanzia leo mpaka hapo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIDHIWANI KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MGOMBEA UNEC, NJOMBE

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM-NEC), Ridhiwani Kikwete akitoa salamu za CCM, wakati wa mazishi ya, aliyekuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA WATUA DAR, MASHABIKI WAFURAHIA USHINDI WA KOMBE LA MAPINDUZI

Mashabiki wa Simba wakishangaa basi la timu hiyo. Mashabiki wa Simba wakishangaa basi la timu hiyo. Mashabiki wa Simba wakimpongeza kipa wa timu hiyo, Manyika Peter mara baada ya kuwasili katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUHUMIWA WA FEDHA ZA TEGETA ESCROW WATINGA KIZIMBANI

Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Theophil Mujunangoma akitoka akiwa chini ya ulinzi wa askari Polisi.Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria Wizara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA...

Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete  wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni...

View Article

MAAZIMIO YA KAMATI KUU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.Bilal kuweka jiwe la Msingi UB

Na Happiness Katabazi (UB)MAKAMU wa Rais  ,Dk.Mohammed Gharib Bilal Kesho anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uwekwaji wa jiwe la Msingi la Chuo Kikuu  Cha Bagamoyo(UB), zitakazofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MALIASILI NA UJUMBE WAKE WAKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SAUDI ARABIA

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kushoto) akimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Chemba ya Biashara ya Saudi Arabia Dk. Abdulrahman Al-Zamil (wa tatu kushoto) jijini Riyadh,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi dawa kwa mganga mkuu wa hospitali ya jimbo la Mpendae Dr. Omar Shaban Amran wakati alipokabidhi sehemu  ya madawa kwa hospitali hiyo ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEND OFF PARTY YA REHEMA KATIKA PICHA

Rehema (katikati) akiwa amepozi na wapambe wake wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika katika ukumbi wa KiramuuMmeniona...............nilivyopendeza. Wewe.................

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WALIOPIGANA VITA KUU YA PILI YA DUNIA 1939-45 NA VITA YA IDD AMINI WAKUMBUKWA...

Askari wa zamani aliyekuwa na cheo cha kapteni, David Nickol Mbe (kulia) akizungumza na Meya wa Ilala, Jerry Silaa wakati wa kuweka mashada ya maua katika mnara uliopo Posta Mpya jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR WASAJILI

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini DarKifaa kipya ndani ya Skylight Band John Music...

View Article


MICHUANO YA KOMBE LA TAIFA YAINGIA RAUNDI YA PILI

Michuano ya Kombe la Taifa kwa Wanawake inaingia raundi ya pili kesho (Januari 17 mwaka huu) kwa mechi za kwanza za raundi hiyo zitakazochezwa katika miji ya Bukoba, Arusha, Mlandizi, Dar es Salaam na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA CHUKUA HATUA 2015

 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni ya chukua hatua 2015 yenye lengo la kutathmini matokeo ya Milenia ambayo yanafikia ukomo wake Septemba mwaka huu na hivyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGOGO WATATU WALIOPATA MGAO WA FEDHA ZA ESCROW WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Meneja wa Msamaha wa Mamlaka ya Kodi na Mapato Tanzania (TRA),  Kyabukoba Mutabingwa (kulia), Mkurugenzi wa fedha Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Julius Angello pamoja na Mwanasheria Mwandamizi wa Shirika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AUNGURUMA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZANZIBAR

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongoza na Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Idd mara baada ya kupokelewa katika Ofisi kuu ya CCM mkoa wa Mjini Magharibi  wilaya ya Dimani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAMUOD MGIMWA amewataka vijana kujitumakufanya kazi

 Naibu waziri wa maliasili na utalii MAHAMUOD MGIMWA ambaye ni mbunge wa jimbo la mufindi kusini akiwa katika moja ya ziara zake za wizara ya maliasili na utalii  Naibu waziri wa maliasili na utalii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCCR-Mageuzi YAWASHUKURU WAPIGA KURA JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (kulia) akipokea zawadi ya shati maalumu lililotolewa na wakazi wa jimbo la Vunjo kwa ajili ya kumpelekea  aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba...

View Article

KINANA AFANYA ZIARA LEO ZANZIBAR KATIKA MAJIMBO YA BUBUBU,DOLE, MFENESINI NA...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>