Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bi. Regina Kikuli (mwenye gauni la kitenge) akisiliza maelezo ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi inayotekelezwa na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA), kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Bw. Paskasi Muragili (wa pili kulia ) wakati alipoowaogoza wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kutembelelea miradi ya mamlaka hiyo leo , mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) Bw. Paskasi Muragili (hayupo pichani) wakati walipotembelea miradi ya ujenzi inayotekelezwa na Mamlaka hiyo, leo mjini Dodoma.