Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

YANGA YAWASILI DAR BAADA YA KUTOLEWA KOMBE LA MAPINDUZI

$
0
0
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngasa akiwa na Danny Mrwanda wakiwasili kutoka Zanzibara kushiriki mashindano ya Kombe la Mapinduzi ambapo timu ya Yanga ilitolewa katika hatua a robo fainali kwa kuchapwa bao 1-0 na JKU ya Zanzibar.
Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (mbele) na mchezaji mwenzake akiwa ameshika Tv wakati wakiwasili bandarini. 
Wachezaji wa Yanga wakiweka mabegi yao katika basi baada ya kuwasili na boti ya Kilimanjaro wakitokea Zanzibar.
Washambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete(kushoto)na Andrey Coutinho wakiwasili kwenye Bandari ya Dar es Salaam, jana wqakitokea Zanzibar kwenye mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kutolewa katika hatua ya robo fainali na timu ya JKU.
  Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho na kocha wa timu hiyo, Pluijm wakiwasili katika Bandari ya Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga,Andrey Coutinho (kushoto) akiwa na kocha wa timu hiyo, Hans van der Pluijm wakiwasili katika Bandari ya Dar es Salaam wakitokea Zanzibar baada ya kutolewa katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>