Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

WATANZANIA WAANZA VIZURI MASHINDANO YA TENIS KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

$
0
0
Emmanuel Mallya wa Tanzania akirudisha mpira kwa mpinzani wake wakati wa mashindano ya Kimataifa ya Afrika Mashariki ya mchezo wa tenis katika viwanja vya Gymkana jijini Dar es Salaam. Emanuel alimshinda mpinzani wake, Fabrice Tuyishime wa   Rwanda kwa seti 2-1. (Picha na Francis Dande)
Georgina Kaidoah wa Tanzania akirudisha mpira kwa mpinzani wake, Faith Omurunga wa Kenya (hayupo pichani) wakati wa mashindano ya kimatifa ya tenisi kwa nchi za Afrika Mashariki ya vijana wenye umri wa miaka 12-16 yaliyofanyika leo kwenye viwanja vya Gymkhana, jijini Dar es Salaam. Georgina alishinda kwa seti 2-0. 
 Emmanuel Mallya wa Tanzania akipeana mkono na Fabrice Tuyishime wa   Rwanda baada ya kumalizika kwa mchezo.
Georgina Kaidoah wa Tanzania akirudisha  mpira kwa mpinzani wake.
 Faith Omurunga wa Kenya akijiandaa kurudisha mpira kwa mpinzani wake.
 Georgina Kaidoah wa Tanzania akijiandaa kupiga mpira.
 Georgina Kaidoah wa Tanzania akirudisha  mpira kwa mpinzani wake.
 Faith Omurunga wa Kenya (kushoto) akipeana mkono na Georgina Kaidoah wa Tanzania baada ya mchezo. Georgina alishinda kwa seti 2-0.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>