RAIS DKT. SAMIA KUFUNGUA RASMI KIKAO KAZI CHA MSAJILI WA HAZINA NA WAKUU WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua rasmi kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji wakuu wa Taasisi za Serikali (CEO FORUM 2024), kitakachofanyika...
View ArticleMSAJILI WA HAZINA AIPONGEZA TAZAMA KWA KUTOA GAWIO LA SH. BILION 4.35 KWA...
Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko - watatu kulia, akipokea gawio kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia na Mwenyekiti Bodi ya TAZAMA, Peter Mumba -wa pili kulia, katika...
View ArticleRAIS DK. SAMIA AKIIPONGEZA TTCL KUFANIKISHA TAMASHA LA KIZIMKAZI, ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi cheti cha pongezi Meneja Mkazi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL-Zanzibar), Bw. Hillary Mwinyi (kulia) pamoja na...
View ArticleVIONGOZI WA DINI WAPONGEZA UZINDUZI WA AKAUNTI YA SADAKA YA BENKI YA CRDB
Dar es Salaam. Tarehe 27 Agosti 2024: VIONGOZI wa dini nchini wameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Akaunti ya Sadaka mahsusi kwa ajili ya taasisi za dini kukusanya sadaka, zaka na michango mingine...
View ArticleWADAU WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAONO YAKE MASHIRIKA KUWEKEZA NJE
 Arusha, Tanzania Wadau wanaoshiriki katika Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma, Jijini Arusha, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani...
View ArticleKAMBI LEGEZA ATOA MSAADA WA MTAMBO WA PHOTOCOPY MASHINE SHULE YA MSINGI VISIGA
VICTOR MASANGU, KIBAHA Diwani wa kata ya Visiga katika Halmashauri ya mji Kibaha Mhe. Kambi Legeza katika kuunga mkono na kuchagiza chachu ya maendeleo katika sekta ya elimu ameamua kutoa msaada wa...
View ArticleFUNGUO na IMBEJU: Ushirikiano wa Kipekee Kukuza Ufadhili kwa Wajasiriamali...
Tanzania, 10 Septemba 2024. Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO unaotekelezwa na UNDP hapa Tanzania kwa ufadhili wa na Umoja wa Ulaya na mfuko waIMBEJU wa CRDB Bank Foundation, imeamua kushirikiana ili...
View ArticleMarekani na India Zaungana Kuendeleza Nishati Mbadala nchini Tanzania
Dar es Salaam – Septemba 12, 2024 - Serikali ya Marekani imeandaa tafrija fupi kuaga wajumbe kutoka Tanzania wanaosafiri kuelekea India kwa ajili ya programu maalum ya mafunzo ya uendeshaji wa gridi,...
View ArticleDC Mpogolo: Serikali kutatua kero za wananchi Ilala
 Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamMKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk, Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutatua kero za wananchi wake ili...
View ArticleBENKI YA NMB YACHANGIA VIFAA VYENYE THAMANI YA MILIONI 60 KWA SHULE TANO ZA...
 Na Oscar Assenga, MuhezaBENKI ya NMB nchini imetoa imechangia vifaa vyenye thamani ya Milioni 60 kwa ajili ya kuboresha mazingira ya elimu kwa shule tano za Msingi katika wilaya ya Muheza mkoani Tanga...
View ArticleNaibu Waziri Kitandula: Rais Samia anaipa Kipaumbele Sekta ya Utalii, inakuza...
Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamNaibu Waziri wa Maliasili na Utalii Dastan Kitandula amesema kuwa Sekta ya Utalii imepiga hatua kubwa kutokana na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuipa kipaumbele Sekta...
View ArticleHanspaul Group yaipongeza Serikali kuwathamini Wawekezaji wa Ndani, yaja na...
Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamKampuni ya Hanspaul Group imeipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwathamini wawekezaji wa ndani na Sekta...
View ArticleRais Mwinyi afungua Onesho la 8 Swahili International Tourism Expo
Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamRais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa pongezi kwa juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha sekta ya...
View ArticleWaziri Balozi Pindi Chana afunga Onesho la 8 la Utalii la Kimataifa la...
Na Hussein Ndubikile, Dar es SalaamWaziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana amefunga Onesho la Nane la Utalii la Kimataifa la Swahili kwa kuwahimiza Watanzania kuzitunza na kuhifadhi...
View ArticleNHIF Mkoa wa Kinondoni kuwaunganisha Dawasa kwenye huduma za ziada
Meneja wa Ofisi ya Mfuko Mkoa wa Kinondoni akisisitiza namna ambavyo uchangiaji wa huduma za ziada unavyofanyika sanjari na ongezeko la wigo wa huduma,kwa menejimenti ya Mamlaka ya Maji Safi na maji...
View ArticleEda Sanga na mumewe Lazarus Sanga washerehekea Jubilei ya dhahabu ya ndoa yao
Siku Bi Eda William Ngurukuru Sanga na Lazarus Abel Sanga walipofunga ndoa miaka 50 iliyopita.Siku Bi Eda William Ngurukuru Sanga na Lazarus Abel Sanga waliposherehekea miaka 50 ya ndoa.Baba Paroko...
View ArticleKibaha mji yafanya kweli mapato ya ndani yatengeneza madawati 4000
Na Victor Masangu, KibahaHalmashauri ya mji Kibaha iliyopo Mkoa wa Pwani katika kukuza na kuinua kiwango cha elimu imetekeleza kwa vitendo maelekezo ya Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan...
View ArticleRais Mwinyi achangia milioni 100 ukarabati Kanisa Katoliki Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha Uhuru wa Kuabudu na kuziagiza taasisi za Kidini kuendelea kuiombea nchi Amani na...
View ArticleTRC yaanza kutoa huduma kupitia treni ya mchongoko
 Na Mwandishi Wetu Shirika la Reli Tanzania (TRC) leo limeanza rasmi kutoa huduma ya usafirishaji wa abiria kwa Mikoa ya Dar es salaam na Dodoma kupitia treni yake mpya ya mchongoko (Electric Multiple...
View ArticleMRADI WA STADI ZA MAISHA KWA VIJANA WAWAVUTIA WASHIRIKI KONGAMANO LA 4, IQEC
Mkurugenzi wa Miradi na Ushirikiano kutoka Camfed Tanzania, Anna Sawaki akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari nje ya Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora (IQEC).Mkurugenzi wa Miradi na Ushirikiano...
View ArticleWAZIRI, PROF. MKENDA AFUNGA RASMI KONGAMANO LA KIMATAIFA LA ELIMU BORA, IQEC
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akitoa hotuba yake alipokuwa akifunga rasmi Kongamano la Kimataifa la Elimu Bora, IQEC lililowashirikisha zaidi ya wadau wa elimu 300 kutoka...
View ArticleBarrick yatunukiwa Tuzo ya mdhamini mkuu wa Mkutano wa Kimataifa wa Madini...
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa akikabidhi cheti cha tuzo ya udhamini mkuu wa mkutano wa kimataifa wa sekta ya madini kwa Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido.Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick...
View ArticleWaziri Silaa Afungua Milango ya Ushirikiano kwa CoRI Kujadili Masuala ya...
Na Mwandishi Wetu, JAB, Dar es SalaamWaziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari...
View ArticleUTT AMIS yatoa Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kwa Maaskofu Dar
Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano UTT AMIS, Daudi Mbaga, akitoa elimu ya Uwekezaji wa Pamoja wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa Maaskofu uliofanyika Kurasini jijini Dar es Salaam huku ukiwa...
View ArticleBenki ya NMB yahudhuria Mkutano wa Kamisheni ya huduma za Jamii ya Kikristo...
Uwakilishi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Bi. Ruth Zaipuna umehudhuria Mkutano wa Kamisheni ya Huduma za Kijamii ya Kikristo (CSSC), mkutano unaoangazia masuala ya elimu na afya....
View Article