KUMEKUCHA UZINDUZI WA ALBAM YA "SHIKILIA PINDO LA YESU" YA ROSE MUHANDO
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizoko Moroco jijini Dar es salaam wakati akielezea kuhusu kukamilika kwa...
View ArticleZESCO KUTUMIA TEKNOLOJIA MPYA YA KUFANYA UKARABATI WA NJIA ZA UMEME BILA KUZIMA
Mkurugenzi wa Mc Donald Liveline Technology, Donald Mwakamele akishangilia ushindi baada ya kampuni yake kuibuka na ushindi katika Maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Zambia kwa teknolojia ya...
View ArticleSWALA YA EID EL FITR KITAIFA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Said Meck sadiki kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye...
View ArticleMEMBE ASEMA DINI NDIKO KWENYE CHIMBUKO LA AMANI NA UTULIVU, ACHANGIA KITABU...
HABARI KATIKA PICHA KUHUSU BARAZA HILO LA EID Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Kamilius Membe, akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, huku waziri...
View ArticleUDA yatoa msaada wa shilingi milioni 15 kwa kanisa la Mt. Rita
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirila la Usafiri (UDA) Bw. Simon Bulenganija (kushoto) akikabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni 15 kwa Paroko Msaidizi wa Kigango cha kanisa la Mavurunza, Padri...
View ArticleViongozi wapya CHADEMA
UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo wilaya ya kichama Ubungo unatarajiwa kujulikana Agosti 3 mwaka huu baada ya uchaguzi wa ngazi za chini katika wilaya hiyo kukamilika. Mbali na viongozi...
View ArticleDULLY SYKES: MIAKA MIWILI SIJAITWA NA PROMOTA
NA ELIZABETH JOHNMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amesema imepita miaka miwili hajawahi kupigiwa simu na promota yeyote nchini kwaajili ya kufanya shoo.Akizungumza na...
View ArticleP FUNK MAJANI ASAKA NYOTA WAPYA
NA ELIZABETH JOHNSTUDIO ya Bongo Rekord iliyo chini ya mtayarishaji mkongwe nchini, P Funk Majani natafuta wasanii wapya wenye vipaji ikiwa ni pamoja na wale wanaojijua kama wanabahati.Akizungumza...
View ArticleCHEGE: NITAENDELEA KUFANYA VIDEO BONGO MPAKA KIELEWEKE
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Said Juma ‘Chege Chigunda’ amesema ataendelea kufanya video za kazi zake hapa nchini mpaka mashabiki waelewe anachokifanya katika tasnia...
View ArticleMAMIA WAMLAKI DIAMOND PLATINUMZ DAR
NA ELIZABETH JOHNMSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amewataka Watanzania kuendelea kumpa sapoti katika kazi zake kwa lengo la kuendelea kuiwakilisha vema tasnia...
View ArticleKUELEKEA MECHI YA MARUDIO NA MSUMBIJI STARS YAJIFUA VIKALI MJINI TUKUYU
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars,wakiongozwa na kocha Mart Nooij wakifanya dua kabla ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Msumbiji, wa kufuzu fainali za...
View ArticleDUDU BAYA AWASHAURI ALIKIBA, DIAMOND PLATINUMZ
NA ELIZABETH JOHNMKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Dudu Baya amewataka wasanii wa muziki huo, Alikiba na Diamond Platinum kutumia vipaji vyao kutengeneza hela na sio kugombana.Kauli hiyo ya...
View ArticleMSIMAMO WA NDUGU ZITTO KABWE KUHUSU MCHAKATO WA KUANDIKA KATIBA MPYA
ZITO KABWETarehe 29 Julai, 2014 nimefanya mahojiano katika kipindi cha Power BreakFast kinachorushwa na Clouds FM. Baadhi ya vyombo vya habari vimeandika mahojiano yale. Napenda nitoe ufafanuzi kidogo...
View ArticleMayanga avipa somo vilabu vya ligi kuu
Na Kenneth Ngelesi, MBEYA KOCHA msadizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Mayanga (pichani), amezitaka timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kutumia mji wa Tukuyu kama sehemu ya...
View ArticleWATU 17 WAFA KATIKA AJALI YA BASI DODOMA
Basi la Moro Best linavyoonekana baada ya kupata ajali.Wakati sherehe za sikukuu ya Idd -El Firt zinaelekea ukingoni Taifa limepatwa na msiba mkubwa baada ya watu 17 waliokuwa wakisafiri na basi la...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAFUNIKA MBAYA EID MOSI NDANI YA ESCAPE ONE
Sam Mapenzi (katikati) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya fukwe za Escape One katika show maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu ya Eid-El Fitr huku akipewa back Vocal na Sony...
View ArticleSTARS YAWASILI AFRIKA KUSINI
Kikosi cha StarsKikosi cha Taifa Stars kimewasili Johannesburg kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kwenda Maputo, Msumbiji kwa ajili ya mechi dhidi ya Mambas itakayochezwa Jumapili. Stars...
View ArticleMARAIS WASTAAFU THABO MBEKI, FESTUS MOGAE NA BENJAMIN MKAPA WAKUTANA DAR ES...
Marais wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika Kusini na Festus Mogae wa Botswana wakiigia kwenye chumba cha Mkutano katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa Africa...
View ArticleCOASTAL UNION U -20 YAIVIMBIA AFRICAN SPORTS, ZATOKA SULUHU PACHA
Wachezaji wa Coastal Union U-20 wakiwa uwanjani wakati wa mchezo wao na Afrcan SportsMakamu Mwenyekiti wa Coastal Union, Steven Mguto (kushoto), akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chama cha Soka...
View ArticlePHD AWATAYARISHA MASHABIKI
Na Elizabeth JohnSTAA wa filamu na muziki wa kizazi kipya nchini, Hemed Suleiman ‘PHD’ amesema kabla ya mwaka haujaisha atakuwa amesambaza video kali sita za nyimbo zake mpya.PHD ni kati ya mastaa...
View Article