$ 0 0 Wachezaji wa Coastal Union U-20 wakiwa uwanjani wakati wa mchezo wao na Afrcan SportsMakamu Mwenyekiti wa Coastal Union, Steven Mguto (kushoto), akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Chama cha Soka Mkoa wa Tanga, Said Soud.