WATUHUMIWA WA MLIPUKO WA ARUSHA WATINGA MAHAKAMANI
Watuhumiwa wa mlipuko katika mgahawa wa kihindi wa Verma Traditional Indian Cuisene jijini Arusha wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha. (Picha na Mahmoud Ahmad) Na Mahmoud Ahmad,...
View ArticleBENKI YA MAENDELEO YAZINDUA MAENDELEO BANK INSURANCE AGENCY
Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki,Ibrahim Mwangalaba (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga kwa pamoja wakifunua pazia kuashiria uzinduzi wa huduma hiyo. Wakurugenzi wakifuatilia jambo...
View ArticleWAHANDISI TANESCO WATEMBELEA KIWANDA CHA SAO HILL KWA MAFUNZO KWA VITENDO JUU...
Mhandisi Donart Makingi (Kushoto) kwa niaba ya Meneja wa Usalama kazini akitoa maelekezo kwa wahandisi namna ya kuzingatia usalama katika eneo la kazi ikiwa ni pamoja na kuto kupanda kwenye nguzo, ama...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UJENZIWAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA)Telegrams TEMESA DSM S.L.P 70704Simu:...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AWAANDALIA FUTARI WANANCHI WA PEMBA
Baadhi ya waumini wa Nini ya Kiislamu pamoja na wananchi wa Mikoa miwili ya Pemba wakifutari pamoja hapo Ikulu ya Wete futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamuhuri ya Mauungano wa Tanzania Dk. Jakaya...
View ArticleBAVICHA NA UCHAGUZI WA VIONGOZI
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), John Heche akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kuanza kwa uchaguzi wa nafasi za uongozi wa...
View ArticleMABEHEWA 25 YA KUIMARISHA RELI YA KATI YAWASILI KUTOKA INDIA
Moja ya mabehewa ya kubebea kokoto zitakazotumika kwa ajili ya kuimarisha reli ya Kati ikishushwa kutoka katika meli ilipowasili katika Bandari ya Dar es Salaam kutoka India. Jumla ya mabehewa 25...
View ArticleWANANCHI WATAKIWA KUWAEPUKA MATAPELI WA MITANDAO
Mkurugenzi Idara ya Habari Assah Mwambene wa kwanza kulia, akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari (pichani hawapo), aliwataka wananchi wote kuwaepuka Matapeli wote wanaotumia mitandao ya kijamii...
View ArticleWAKAZI WA PUGU KINYAMWEZI WATINGA TANESCO WILAYANI KISALAWE
Wakazi wa Pugu Kinyamwezi Mkoa wa Pwani, wakisikiliza ushauri kutoka kwa Katibu waliomtehua wa kufatilia huduma ya Umeme, Lucas Maira wa kwanza (kushoto), Wakazi hao wamekosa huduma hiyo toka mwaka...
View ArticleMKURUGENZI WA THE GUARDIAN/MHARIRI WA NIPASHE, WAITWA POLISI
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, (ZCO), Jafar Ibrahim, (Kulia), akizungumza na Mwanasheria wa kampuni ya The Guardian, Gladis Frimbari (Wapili kulia), Mkurugenzi...
View ArticleArticle 6
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIATANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITYRE-ADVERTISEMENTTCRA ICT SCHOLARSHIP 2014-2015The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is currently inviting...
View ArticleArticle 5
TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY2014-15 TCRA ICT SCHOLARSHIP APPLICATION FORMDeadline: 20th August 2014Note: Scholarship applications will be judged on their own merit based on their...
View ArticleGSK YATANGAZA KUWASILISHA KWA CHANJO YA MALARIA
GSK imetangaza kuwasilisha maombi ya udhibiti wa chanjo ya malaria RTS,S katika shirika ya Ulaya ya Madawa Agency (EMA).Uwasilishaji unafuata Ibara ya 58 ya utaratibu, ambayo inaruhusu EMA kutathmini...
View ArticleRais Kikwete amuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuuya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam. akitia saini hati ya Kiapo mbeleya...
View ArticleMKUTANO KATI YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM NA WANAMTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA...
Usu Millya Mwanamtandao wa Ulingo wa Katiba na wanawake ambaye alikuwa ndiye mwezeshaji wa mkutano huo ambao ulikuwa ni wa siku mbili akiendelea kutoa mwongozo wa mkutano huo. Doreen E. Maro kutoka...
View ArticleTwanga kuwatambulisha waliotoka Extra Bongo na Malaika Band Idd Mosi ndani ya...
BENDI ya African Stars’ Wana Twanga Pepeta, itawatambulisha rasmi wanenguaji wake wanne waliotoka bendi ya Extra Bongo na bendi ya Malaika siku ya Idd Mosi kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni.Hayo...
View ArticleRais Dk.Shein Afurtarisha Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika...
View ArticleMH. EDWARD LOWASSA AWAANDALIA FUTARI WAUMINI WA MONDULI
Mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowassa akizungunza na waumi wa dini ya kiislam (hawapo pichani), katika hafla aliyofuturisha katika Msikiti Mkuu wa Monduli mjini. Shekh wa Wilaya ya Monduli Shekh...
View ArticleMANISPAA YA KINONDONI YAWAFUKUZA WATUMISHI TISA, WAWILI WAPEWA KARIPIO KALI
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
View ArticleNSSF YAFUTURISHA WASTAAFU WAKE MKOA WA TANGA
Principle Operation Officer wa NSSF, Joyce Mruma akigawa zawadi kwa wastaafu wa NSSF wakati wa hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na shirika hilo. Ofisa Mwandamizi wa Operesheni wa NSSF, Lydia Ignace...
View Article