Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

'I DO' YA DYNA KUTUA SOKONI KESHO

Na Elizabeth JohnMWANADADA ambaye anatamba katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Dyna Nyange ‘Dyna’ leo anatarajia kusambaza video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘I Do’.Video ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKYLIGHT BAND KUPANDA JUKWAANI LEO THAI VILLAGE

 Digna Mpera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI YA NUSU MWAKA KUANZIA JANUARY HADI...

  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba.  Mtafiti wa Tafiti mbalimbali wa LHRC, Wakili Pasience Mlowe. Mkurugenzi wa Uwezeshashi na Uwajibikaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MAKALLA AKAGUA MIRADI YA VISIMA VYA MAJI MKURANGA

 Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akipata maerlezo kutoka kwa kiongozi wa Mafundi wa Kampuni ya CDM Smith, John Donoherth, kuhusu ujenzi wa kisima kilichopo Mkwalia Mkuranga ambacho ni moja...

View Article

Rotary Club yatoa msaada wa vifaa vya shule vyenye dhamani ya mili 14

Na KENNETH NGELESI, MBEYARAIS wa Shirika lisilo la kiserikali la "Rotary Club" ya Marekani tawi la Mbeya, Melas Mdemu, amesema njia pekee ya kumaliza changamoto zinazo ikabili Wizara ya Elimu na...

View Article


Bilioni 8 kutumika ujenzi wa michezo wa kisasa Chunya

Na Kenneth Ngelesi, Mbeya                                                 KAMPUNI ya Saruji Mkoani hapa “Mbeya Cement”  imetoa mifuko 1000 ya Saruji sawa na tani 50 kwa ajili ya kusaidia kuendeleza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA...

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YASHUSHA WAWILI MSIMBAZI

 Makamu wa Rais wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (kushoto), akimkabidhi jezi, Shaban Kisiga, baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja akitokea Mtibwa Sugar. (Picha na Francis Dande) Makamu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YADHAMINI KAMBI YA KUOGELEA YA WATOTO

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), imedhamini kambi ya siku tano ya kuogelea iliyoandaliwa na Champions Rise Swimming Club. Kambi hiyo inayofanyika katika bwawa la kuogelea la shule ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete awasili Washington kuhudhuria Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa...

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa...

View Article

VIDEO YA HOTUBA YA MHE DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WANANCHI, 31 JULY 2014

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania waaswa kushiriki katika kuendeleza Sekta ya Elimu nchini

 SR1a:  Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na M,ichezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea zawadi ya maua kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi na Awali Sunrise ya jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM YASTUKIA USANII WA UKAWA

     Chama Cha Mapinduzi kimewastukia Ukawa na kusema wanachofanya ni Usanii usiokuwa na tija mbele ya mambo ya msingi kwa Taifa la Tanzania, akizungumza na mwaandishi wa habari hizi Katibu wa NEC...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI WA VITENGO VYA MAWASILIANO SERIKALINI: MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI...

 Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (Kulia) akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa magazeti wakati alipokuwa na mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Bw. Assah...

View Article

NOOIJ ATARAJIA MECHI YA WAZI DHIDI YA MSUMBIJI

Kocha wa Taifa Stars, Mart Nooij amesema anakiamini kikosi chake ambacho kesho (Agosti 3 mwaka huu) kinacheza mechi ya marudiano ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika dhidi ya Msumbiji (Mambas).Mechi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA ALIYEKUWA MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI

Jeshi la Polisi linaendelea kumshikilia na kumhoji aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki (CCM),  Mansoor Yussuf Himid (pichani), baada ya kupatikana na silaha aina ya short gun yenye risasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chiku Gallawa mgeni rasmi Handeni Kwetu Foundation

Na Mwandishi Wetu MKUU wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa (pichani), anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa taasisi ya Handeni Kwetu Foundation, utakaofanyika Jumanne ya Agosti 5, katika Ukumbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKE WA VIONGOZI WAMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE NYUMBANI KWAKE MSASANI

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda ambaye ni mlezi wa kikundi cha Wake waViongozi (New Mellenium Women Group)akimsikiliza kwa makini Mama Maria Nyerere wakati wanachama wa walipo mtembelea Mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFAB TANZANIA YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti cha Mikocheni (MARI), Dk. Andrew Ngereza akitoa historia fupi ya kituo hicho wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika semina ya siku moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAMBURA NA WANACHAMA 72 WALIOFUNGUA KESI MAHAKAMANI WAFUTWA UANACHAMA SIMBA

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akifafanua jambo wakati wa mkutano maalum wa wananchama wa klabu hiyo uliofanyika kwenye Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>