Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

KUELEKEA MECHI YA MARUDIO NA MSUMBIJI STARS YAJIFUA VIKALI MJINI TUKUYU

$
0
0
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars,wakiongozwa na kocha Mart Nooij wakifanya dua kabla ya kuanza  mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Msumbiji, wa kufuzu fainali za Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Stars itapambana na Msumbiji Agosti 3 mjini Maputo. (Picha na Kenneth Ngelesi)  
Benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars wakiongozwa na kocha msadizi, Salumu Mayanga katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Tukuyu Rungwe.

Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Msumbiji, wa kufuzu fainali za Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Stars itapambana na Msumbiji Agosti 3 mjini Maputo.

  Kiungo Stars, Amri Kiemba akipiga danadana juzi wakati wa mazoezi wa mwisho kwa ajili ya mchezo wa marudiano na timu ya taifa ya Msumbuji.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>