Article 4
WAZIRI MEMBE AZINDUA FILAMU MPYA YA 'I LOVE MWANZA' JIJINI MWANZAWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akisadiwa na Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania...
View ArticleArticle 3
SHEREHE ZA MIAKA 10 YA BANG MAGAZINE ZAFANA NDANI YA UKUMBI WA ESCAPE ONEMeneja Wa Bang Magazine Emelda Mwamanga Akitoa Historia fupi ya Gazeti kwenye sherehe za miaka 10 ndani ya Escape OneMeneja wa...
View ArticleArticle 2
MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII, TASAF NA JITIHADA ZA KUPAMBANA NA UMASKINI NCHINI Hapa lazima ieleweke ndivyo anavyoelekea kusema Mwezeshaji wa PWP Rafii Fadhili Hasan alipotoa mafunzo kwa walengwa wa...
View ArticleArticle 1
Manispaa ya Kinondoni Kujenga Daraja litakalounganisha Mabwepande Kitongoji cha Kikwete VisheniMeya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda (wa pili kushoto),Diwani wa Kata ya Mabwepande Clement Boko...
View ArticleArticle 0
MAKAMU WA RAIS, DKT. BILAL AMKARIBISHA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO, WASAINI MIKATABA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...
View ArticleArticle 2
Mb Dog atoa mbili mpyaMb DogNa Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amekamilisha nyimbo nyingine mbili mpya zinazojulikana kama Ya Moto na Demu...
View ArticleDIMPOZ: SIKUTEGEMEA KUBAMBA KIMATAIFA
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema hakutegemea kama kuna siku video yake itakuwa inachezwa mara kwa mara katika televisheni kubwa barani...
View ArticleWEMA APONDA FILAMU ZA BONGO
Na Elizabeth JohnSTAA wa filamu za Bongo, Wema Sepetu amesema filamu nyingi za Bongo ni filamu za makochi na juisi hivyo kwasasa ameamua kuja tofauti.Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wema...
View ArticleArticle 4
BAGAMOYO HISTORICAL MARATHON 2014 YAWA KIVUTIO Wakimbiaji wakitimua vumbi katika mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon, mjini Bagamoyo, Pwani jana. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya...
View ArticleArticle 3
RAIS KIKWETE ATUA MALABO, EQUTORIAL GUINEA, KUHUDHURIA MKUTANO WA 23 WA UMOJA WA AFRIKARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mji mkuu wa Equatorial Guinea...
View ArticleLULU AWAKANA MAPACHA
Na Elizabeth JohnBAADA ya wasanii wa kundi la Mapacha, kutambulisha ngoma yao mpya inayojulikana kwa jina la ‘Time for the Money’ waliodai kumshirikisha nyota wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu,...
View ArticleArticle 1
REDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA Mratibu wa Shindano la kumtafuta mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,...
View ArticleArticle 0
TaSuBa YAANZA KUTOA FOMU ZA USHIRIKI WA TAMASHA LA 33 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYOTaasisi yaSanaanaUtamaduni Bagamoyoimekuwanautaratibuwakuandaatamashala kimataifalaSanaanaUtamaduni....
View ArticleFID Q AWAPA CHANGAMOTO WAANDAAJI WA KILI MUSIC
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa hip hop nchini, Farid Kubanda ‘Fid Q’ amesema tuzo za mwaka huu zilikuwa za mwisho kushiriki endapo waandaaji wa tuzo hizo wasingetambua mchango wake tangu mwaka...
View ArticleKIBA BADO SIJAFULIA KIMASHAIRI
Na Elizabeth JohnSTAA wa Bongo fleva nchini, Ally Kiba, amesema kukaa kwake kimya katika ‘game’ sio kwamba ameishiwa, amejaribu kuwaachia wenzie wafanye kazi na kwamba anatumia muda huo kulisoma soko...
View ArticleKITALE: SINA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA PENNY
Na Elizabeth JohnMSANII wa filamu na vichekesho, Mussa Kitale ‘Kitale’ au ‘Mkude Simba’ amekanusha uvumi kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mwanadada, Penny kama inavyodaiwa.Kitale alikanusha kauli hiyo...
View ArticleArticle 7
FARIDA FOUNDATION YATOA MISAADA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA NA KWA WALEMAVU ENEO LA UBUNGO DARAJANI Mkurugenzi wa Farida Foundation akikabidhi moja ya msaada kwa kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya...
View ArticleArticle 6
BARABARA ZINAZOZUNGUKA UWANJA WA SOKOINE KUWEKWA LAMIGari aina ya Land Rover likivuta mkokoteni uliopakia lami kwa ajili ya matengenezo ya barabara ya Uwanja wa Sokoine jiji Mbeya. Barabara hiyo...
View ArticleTBL FAMILY DAY NA MNUSO WAO BABKUBWA
Wafanyakzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na familia zao wakiwa kwenye foleni ya kupata msosi wakati wa hafla ya Siku ya Familia ya TBL, kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, Hoteli ya Bahari Beach,...
View ArticleArticle 4
NSSF YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIALI WANAWAKE WA EOTFOfisa Mwandamizi wa NSSFkutoka Kitengo cha Hiari Scheme, Salim akiwa na cheti cha ushiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wajasiriamali wanawake...
View Article