$ 0 0 BARABARA ZINAZOZUNGUKA UWANJA WA SOKOINE KUWEKWA LAMIGari aina ya Land Rover likivuta mkokoteni uliopakia lami kwa ajili ya matengenezo ya barabara ya Uwanja wa Sokoine jiji Mbeya. Barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami nyepesi (Picha na Kenneth Ngeresi)