Article 1
TASWA NA MIKAKATI YA MAENDELEOKAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilifanya kikao chake cha kwanza chini ya uenyekiti wa Juma Pinto juzi Jumatatu Machi 10,...
View ArticleArticle 0
Rebecca Malope kutumbuiza Tamasha la PasakaMkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana, kuhusu maandalizi ya tamasha la Pasaka...
View ArticleArticle 3
CTI WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL DAR Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Bw. Steve Kilindo (wa tatu kushoto), akiwaelekeza jambo wadau kutoka Shirikisho la wenye...
View ArticleArticle 2
WATANZANIA WASHAURIWA KUWEKEZA NA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIAMkurugenzi wa Masoko Na Mahusiano Kutoka Dhamana ya Uwekezaji Tanzania Bwana Daudi Mbaga Akitoa Mada Kuhusu Kuwekeza kwenye Mifuko Iliyo...
View ArticleArticle 1
MEGA TRADE WATOA MSAADA KWA WALIOKUMBWA NA MAAFA WILAYA YA HAI-KILIMANJARO Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga (watatu kushoto) akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya...
View ArticleArticle 0
DAR KUSAHAU SHIDA YA MAJIMafundi wakiendelea na ukarabati, upanuzi wa mitambo ya Ruvu Juu wakiwa kazini katika Ofisi ya Mitambo hiyo, mkoani Pwani. Kaimu Meneja wa Mtambo wa Ruvu Juu, Mhandisi...
View ArticleArticle 4
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MARAIS WAASTAAFU Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mwenyekiti wa...
View ArticleArticle 3
MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA KALENGA YAKAMILIKA-TUME Mwenyekiti wa taifa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu, Damiani Lubuva akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, kuhusu uchaguzi mdogo...
View ArticleArticle 2
PINDA AAGIZA HUDUMA ZA FIGO ZITOLEWE KIKANDAWAZIRI MKUU Mizengo Pinda aagiza huduma za upimaji wa figo zitolewe kwa kuzunguka katika kanda zilipo nchini na kuacha utamaduni wa kutoa huduma hizo wakati...
View ArticleArticle 1
WAENDESHA BODABODA, BAJAJ WAANDAMANA HADI MAKAO MAKUU YA CHADEMA KUPINGA AGIZO LA SERIKALI Umati wa waendesha Bodaboda ukiwa umekusanyika nje ya Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleArticle 0
STANLEY NA CHRISTINA WAMEREMETA Bwana Harusi, Crown Stanley na Christina Richard wakiwa wenye furaha baada ya kufunga ndoa yao iliyofanyika hivi karibuni katika Kanisa la St. Joseph Kinondoni na...
View ArticleArticle 3
VIPAJI MABORESHO STARS KUTAJWA JUMATATUMchakato wa ung’amuzi wa vipaji kwa ajili ya maboresho ya Taifa Stars ulioshirikisha wang’amuzi wa vipaji (scouts) zaidi ya 40 umekamilika leo (Machi 15 mwaka...
View ArticleArticle 2
Brigedia Jenerali Mathew Sikumbi atembelea shughuli za maendeleo-Igunga Mkuu wa wilaya ya Igunga Elibariki Kingu akifafanua jambo kwa Kamanda wa Kamandi ya kijeshi Kanda ya Magharibi, Brigedia...
View ArticleArticle 1
KAMPENI ZA UCHAGUZI KALENGA ZAFIKIA TAMATI Badhi ya wananchi wa kijiji cha Sadani, wakifurahia baada ya kuwasili kwa mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
View ArticleArticle 0
WANANCHI WA KALENGA KUMCHAGUA MBUNGE WAO MACHI 16Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa...
View ArticleArticle 3
Meya Kapunga ajipalia mkaa Iyela Na Christopher Nyenyembe,Mbeya MSTAHIKI meya wa jiji la Mbeya,Athanas Kapunga(CCM) amejipalia mkaa wa moto baada ya kutembelea kata ya Iyela kinyemela na kudai kuwa...
View ArticleArticle 2
DMI KUKARABATI SHULE YA MSINGI SARANGANa Mwandishi WetuUMOJA wa Wanawake unaosimamiwa na Shirika la Masista Tanzania (DMI), umechukua jukumu la kukarabati chumba cha darasa kwenye Shule ya Msingi...
View ArticleArticle 1
WAKAZI MLONGAZILA WADAI FIDIANa Mwandishi WetuBAADHI ya wakazi wa eneo la Mloganzila wilayani Kisarawe Mkoa wa Pwani wapatao 64 wamesema hawako tayari kupitisha ujenzi wa miundombinu kwa ajili ya...
View ArticleArticle 0
MAKALA: UKWELI MCHUNGUSiasa ama chama chochote cha siasa ni zao la falsafa. Kuwa Mwanasiasa bila kuwa na falsafa ama kuwa na Chama cha Siasa ambacho hakina msingi wa falsafa ni kasoro kubwa ambayo...
View Article