Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 3

$
0
0
MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA KALENGA YAKAMILIKA-TUME
 Mwenyekiti wa taifa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu, Damiani Lubuva akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, kuhusu uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga. (Picha zote na Joseph Senga)
Kamanda wa Polisi mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu jeshio hilo lilivyojiandaa na uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, utakaofanyika Marchi 16.
Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbles Lema ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa jana, kuhusu utata uliojitokeza katika ya Jeshi la Polisi, Tume ya Uchaguzi. Kushoto ni Mratibu wa uchaguzi wa chama hicho, Bendson Kigaila. 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama hicho, Grace Tendega, wakiwasalimia baadhi ya akinamama waliofika kwenye mkutano wa kampeni katika kijiji cha Nyenze juzi. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>