Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 0

$
0
0
WANANCHI WA KALENGA KUMCHAGUA MBUNGE WAO MACHI 16
Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la  Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa  mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM  Abdulrahman Kinana na kuhudhuria ma maelfu ya wananchi, kwenye  Uwanja wa Mnada, Kijiji cha Kidamali, Kata ya Nzihi. (Picha na Bashir Nkoromo)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>