Umati wa waendesha Bodaboda ukiwa umekusanyika nje ya Makao Makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo asubuhi kupinga agizo lililotolewa na Serikali la kuwataka kutopeleka abiria katikati ya Jiji. (Picha zote na Francis Dande)
Dk. Slaa akizungumza na waendesha Bodaboda Makao Makuu ya Chadema.
Dk. Slaa akizungumza na waendesha Bodaboda Makao Makuu ya Chadema.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa akizungumza na waendesha Bodaboda na Bajaj walioandamana hadi Makao Makuu ya chama hicho Kinondoni jijini Dar es salaam jana, kupinga agizo lililotolewa Serikali la kuwataka kutopeleka abiria katikati ya Jiji.
Waendesha Bajaj na Bodaboda wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chadema Dk.Willbroad Slaa.
Hali ilivyokuwa nje ya Makao Makuu ya Chadema.
Wakionesha mshikamano wao.......
Kwa pamoja tunaweza........
Tunataka haki yetu.......
Baadhi ya Baja zikiwa zimeegeshwa jirani na Makao Makuu ya Chadema baada ya kufanya maandamano ya amani.