RAIS KIKWETE MGENI RASMI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI UCHAGUZI MKUU
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandali ya Tamasha la kuombea Amani na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama akifafanua jambo Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki, wakati akimtangaza Rais Jakaya Kikwete kuwa...
View ArticleUZINDUZI WA KAMPENI WA KAMPENI JIMBO LA HAI
Baadhi ya wafuasi wa Ukawa wakiwa katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Half London eneo la Bomang’ombe Wilaya ya Hai Moshi Mgombea urais wa Edward Lowassa, akimnadi Mgombea ubunge wa Jimbo la...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZOKUFUATIA KIFO CHA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...
View ArticleTANZANIA KUPATA BILIONI 992 KUBORESHA UMEME
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone:255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleUPENDO NKONE AZINDUA ALBAMU YA TANO
Mwimbaji wanyimbo za injili, Upendo Nkone akiimba kwa hisia wakati wa uzinduzi wa albamu yake ya tano iitwayo ‘Omba Yesu Anasikia’ uliokwenda sambamba na kutimiza miaka 10 tangu aanze huduma ya...
View ArticleLHRC YAADHIMISHA MIAKA 20 TANGU KUANZISHWA KWAKE
Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Septemba 26,1995, Jaji Mstaafu Osebia Munuo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa...
View ArticleMKUTANO WA KAMPENI ZA CCM MKOKOTONI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA LEO
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na WanaCCM na Wananchi na Wapenda amani katika Wilaya ya Kaskazini A Jimbo...
View ArticleMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE NDANI YA CHIMALA,MBARALI,MAKAMBAKO NA...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga wakiwaiambisha wananchi wa...
View ArticleWAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO
Eng.Philbert Rweyemamu akifafanua jambo katika moja ya mabanda ya maonyesho kwa baadhi ya maafisa wa uhamiaji walipokuwa wakitembelea mabanda ya maonyesho.Eng.Philbert Rweyemamu akifafanua jambo katika...
View ArticleWAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA
Eng.Philbert Rweyemamu akifafanua jambo katika moja ya mabanda ya maonyesho kwa baadhi ya maafisa wa uhamiaji walipokuwa wakitembelea mabanda ya maonyesho.Michel Ash-Afisa Mkuu wa Masuala ya uendeshaji...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA WAZIRI CELINA KOMBANI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasilisha salamu za Pole za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa kuuaga Mwili wa Marehemu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya...
View ArticleMAGUFULI CLUB YAZINDULIWA
Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi ya Vijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini...
View ArticleMISA TANZANIA YASHEREKEA SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI YA KUPATA TAARIFA
Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (katikati) akikata utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa chapicho la...
View ArticleFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA...
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU(JAMIIMOJABLOG)~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa...
View ArticleUSIKU WA ESTER DIANA NANA, ALIVYOMEREMETA
Bi Harusi mtarajiwa Ester Diana Nana (kushoto) akigonisha glasi na msimamizi wake, Hellen, wakati wa sherehe ya kuagwa (Send off) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, mwishoni...
View ArticleMGOMBEA UBUNGE TEMEKE (CCM) MTEMVU AHAIDI NEEMA AKICHAGULIWA TENA
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akizungumza na wananchama na wafuasi wa Chama hicho Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi Kata 14...
View ArticleMAELFU WAMLAKI EDWARD LOWASSA BUMBULI-TANGA
Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili...
View ArticleWASANII WA BONGO MOVIE WAIBUKIA MJINI IRINGA,WATANGAZA KUTEMBEA NCHI NZIMA...
Baadhi ya Wasanii nyota wa Filamu hapa nchini wakiongozwa na Jacob Steven a.k.a JB wakiwa wamenyanyua juu mikono yao kwa pamoja ni Ushindi sambamba na Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (wa...
View ArticleWANANCHI WAFUNGA BARABARA - LOWASSA KAMPENI
Mgombea Urais wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, waliofunga barabara ili azungumze nao leo Septemba...
View ArticleBENKI YA CRDB YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA KUTOA VIFAA TIBA KWA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja uliofanyika jijini Dar es Salaam na kukabidhi vifaa tiba kwa ajili ya kuhudumia...
View Article