Mwenyekiti wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege(kulia) akimkabidhi tuzo ya cheti cha funguo la Dhahabu walioibuka washindi wa mwaka 2015 Kaimu Mkuu wa Mawasiliano wa Huduma kwa Jamii wa NHC Bw. Muungano Saguya kwa kutoa taarifa kwa uwazi kwa umma.
↧
MISA TANZANIA YASHEREKEA SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI YA KUPATA TAARIFA
↧