MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE,KESHO KUUNGURUMA LIVE UWANJA WA JAMHURI...
Pichani kati ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli akiwa sambamba na Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde kwa pamoja wakiwapungia wananchi wa jimbo la Mtera (hawapo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AONGOZA MAZISHI YA WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Udongo kwenye kaburi la Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma marehemu Celina Kombani...
View ArticleEMIRATES YAPATA MENEJA MPYA-TANZANIA
Meneja mpya wa Shirika la ndege la Emirates nchini Tanzania, Husain Alsafi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipokuwa akijitambulisha, Dar es Salaam jana. (Picha zote na...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA AFANYA MIKUTANO KILWA KUSINI
Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani...
View ArticleTASOI YAZINDUA KAMPENI YA SARATANI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA MAWASILIANO BILA...
Katibu Mkuu wa TASOI, Belinda Mlingo akizungumza na waandhishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati endelevu wa kuendesha kampeni ya Mshikamano dhidi ya Saratani kwa kutumia...
View ArticleNAMELOK SOKOINE AZINDUA KAMPENI ZAKE JIMBO LA MONDULI
MGOMBEA jimbo la Monduli kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa uzinduzi wa kampeni zake zilizofanyika katika viwanja vya Nanja Mnadani Monduli...
View ArticleLOWASSA APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIMBO LA BUMBULI, MKOANI TANGA
Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili...
View ArticleTEA YAIPA TET MKOPO WA SHILINGI BILIONI TATU KUANDAA MITAALA NA KUCHAPISHA...
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Sifuni Mchome (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Mamlaka ya Elimu (TEA) zilipotialiana saini...
View ArticleSIMBA YAIFUNGA STAND UNITED 1-0, YANGA YAIPIGA MTIMBWA SUGAR 2-0
Beki wa Simba, Murshid Juuko akiwatoka wachezaji wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa leo. Simba imeshinda 1-0. (Picha na Francis...
View ArticleWAGOMBEA UBUNGE NA UDIWANI USO KWA USO NA WAPIGA KURA WAO MUFINDI , WAULIZWA...
Ndg Patrick Lalika, akiuliza Swali kuhusu Mazingira hatarishi kwa Watoto katika mdahalo uliofanyika katika Shule ya Msingi Igowole wilayani Mufindi, ambao ulishirikisha wanafunzi kutoka Shule za...
View ArticleWAIMBAJI TAMASHA LA AMANI KUANZA KUWASILI IJUMAA
Mwenyekiti wa Tamasha la Kuombea Amani, Alex Msama akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Oktoba 4 kwenye...
View ArticleLOWASSA ATIKISA DAR
Waangalizi kutoka Jumuiya ya Ulaya (EU), wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa Chadema uliofanyika kwenye Uwanja wa Mwembe Yanga leo majira ya saa tano asubuhi, mgombea huyo anaungwa...
View ArticleUJENZI WA MSIKITI KIMBANGULILE , MKURANGA PWANI
Msikiti mpya wa Kitongoji cha Kimbangulile, Mkuranga Pwani Msikiti wa zamani wa Kitongoji cha Kimbangulile Wilaya ya Mkuranga mkoni Pwani.Tunamshukuru Mungu kwa wale wote walio tuunga mkono katika...
View ArticleSSRA yatoa elimu kwa viongozi wa vyama vya wafanyakazi (TUCTA) mkoani Dodoma
*Wafanyakazi watakiwa kufuatilia makato yaoMkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi.Na Mwandishi Wetu,...
View ArticleMsama Promotions yamshukuru Rais JK
NA FRANCIS DANDE MWENYEKITI wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la kuombea amani Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama (pichani) amempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA CHADEMA JUMA DUNI HAJI AFANYA MKUTANO RUFIJI
Mgombea mwenza wa urais Chadema anayeungwa mkono na Ukawa, Juma Duni Haji akikaribishwa na mkazi wa Chumba, Futa Bakari wakati wa mkutano wa kampeni katika Viwanja vya Muhoro, Rufiji mkoani...
View Article