Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA MTAKATIFU FRANSIC ZIARANI MAREKANI

Na Muandishi Wetu Swahilivilla.Blog Baba Mtakatifu Francis jana aliwasili nchini Marekani kuanza ziara ya kwanza kuwahi kuifanya nchini humo maishani mwake.Baba Mtakatifu Papa Francis akiwa katika...

View Article


Prof. Kapuya afichua ukweli

Na Hosea Joseph, KaliuaMGOMBEA ubunge wa jimbo la Kaliua, Tabora, (CCM), Profesa Juma Kapuya amefichua mjadala uliokuwa ukiendeshwa na wapinzani wake juu ya matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nkone, Lissu, Mwangila waahidi makubwa Tamasha la Amani Dar

 Mwenyekiti wa maandalizi ya Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama akifafanua jambo kuhusu maandalizi ya tamasha hilo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mwimbaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA LEO

Aliyekuwa WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani amefariki Dunia leo nchini India, mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini Tanzania siku ya Jumamosi kwa...

View Article

MVI 13342

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UGONJWA WA DAMU HATARI UNAOWEZA KURITHIWA

Na Mwandishi Wetu, Ibrahim (jina limebadilishwa) alizaliwa nchini Tanzania na alipokuwa na umri wa miezi 9 tu alionekana anang’aa na hakuwa na uwezo wa kula na kukua vizuri kama watoto wengine wa umri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MAJESHI CDF JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE YU BUHERI WA AFYA NA YUPO...

 Taarifa zinazosambaa kumhusu Mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali  Davis Mwamunyange zilizosambaa kwenye mitandao ya jamii kwamba amekula chakula chenye sumu na amekimbizwa jijini Nairobi nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taarifa mpya kuhusu mtoto aliyepotea na house-girl

Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na yaya wake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza kumchukua.Tunashukuru wote waliojumuika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA REACH FOR CHANGE WAZINDUA SHINDANO LA...

 Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa shindano la Wajasiriamali ambapo ametoa wito kwa watu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAANZISHA MAFUNZO KWA WAFANYABIASHARA NCHINI

 Ofisa Uhusiano wa TBL Doris Malulu, akizungumza na wadau wafanyabiashara wa vinywaji vyao katika semina ya biashara Dar es Salaam jana,ambao wanafadhiliwa na TBL.(kulia) ni Mkufunzi Msimamizi Taasisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VUGU VUGU LA AJENDA YA WATOTO NA UCHAGUZI MKUU LAENDELEA KIBAHA MKOANI PWANI

Mtoto Loida Goodluck Kutoka shule ya Sekondari ya  Simbani akichangia mada katika Mdahalo huo.Mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wa mtoto Joyce Michael akizungumza jambo wakati wa Mdahalo  huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THURSDAY TALK

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UBORESHAJI WA USALAMA BARABARANI KWA USAFIRISHAJI WA MASAFA MAREFU

 Fuso ikipita Njiani kwenye Maonyesho ya "NDIO Fuso ni Faida" jijini Dar, Maonyesho hayo yanatarijiwa kupita kwenye Mikoa kama Tanga – Moshi- Arusha- Mwanza –Shinyanga -Kahama- Dodoma – Iringa – Mbeya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi wa CHADEMA Gairo, Mikumi Wakimbilia CCM, Bi. Suluhu Awapokea...!

Msafara wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan ukiwasili Gairo mkoani Morogoro.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (wa pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EAMCEF FUNDRAISING GALA 2015

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upendo Nkone kuzindua albamu ya tano leo

Uendondo Nkone (katika) akiimba moja ya nyimbo zake wakati wa mkutano na waandashi wa habari kuhusu  kuadhimishi miaka 10 tangu aanze huduma ya uimbaji. NA MWANDISHI WETUMWIMBAJI mahiri wa nyimbo za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAIFUMUA SIMBA 2-0

Mshambuliaji wa Yanga, Malimi Busungu akishangilia na Kelvin Yondan (kulia) baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Simba uliofanyika kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Atowa Mkono wa Eid El Hajj kwa...

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee Welezo wakiwasili katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa Kampeni Mgombea Urais wa CCM Zanzibar Dk Shein, Viwanja vya Bungi...

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM  Mhe Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana naViongozi wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kuwasili katika viwanja vya mkutano wa hadhara wa kampeni ya Mgombea Urais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Shein Mgeni Rasmin Baraza la Eid El Hajj Ukumbi wa Chuo cha Amali...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Amali Mkokotoni akipokelewa na Waziri wa Sheria na Katiba Zanzibar Mhe. Abubakary Khamis Bakar, kwa ajili...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>