Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI APOKELEWA KAMA MFALME KIGOMA,WANANCHI WAKIRI WAZI ATOSHA KUWA RAIS

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia  maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA HAJI DUNI AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI TURAMBO,...

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutumia mamia ya wakazi wa jimbo la Urambo Mashariki mkoani Tabora wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mwananchi Square....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA KAMPPENI ZA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA...

Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita leo. (Picha na Francis Dande) Msafara wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFARA WA SUGU WASHAMBULIWA KWA MAWE AKIELEKEA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI

Gari la Mgombea Ubunge jimbo la Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi Sugu likiwa kituo cha Polisi kati jijini Mbeya mara baada ya kushambuliwa kwa mawe. Picha Kenneth Ngelesi Mbeya.Sugu akiwa kituo cha Polisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA MIAKA 8 YA BABA MZAZI WA BLOGGER FATHER KIDEVU NA BIRTHDAY YA...

Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925 – 18/09/2007) Mroki Mroki-Father Kidevu Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika nane sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA MAALUM PENUEL

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKWETE AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS MTAA WA SOKOINE...

 majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam. Rais Kikwete na viongozi wengine wakifurahia sanamu ya ukutani inayopamba eneo la mapokezi. Rais Kikwete akiwa na Bodi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27,...

 Mwenyekiti wa Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kuanzia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sipho Makhabane kuijali amani ya Tanzania

 Mwenyekiti wa tamasha la kuliombea Taifa Aman pamoja na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama akifafanua jambo wakatio wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Septemba 19 kuhusu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI ZA DK MAGUFULI ZATUA UWANJA WA NYUMBANI CHATO

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mkono wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo lake la Chato, wilayani Chato, Geita lmuda huu. PICHA ZOTE NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOME GYM MWENGE YASHEREHEKEA MIAKA 17 TANGU KUANZISHWA

 Washiriki wa Jogging iliyoandaliwa na kituo cha mazoezi ya viungo cha Home Gym Mwenge jijini Dar es Salaam kilichopo chini ya Andrew Mangomango (kulia) kwa lengo la kuhamasisha umuhimu wa mazoezi kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAJAJ WALIYOIKODI WANAFUNZI WA SEKONDARY YA LOYOLA JIJINI DAR ES SALAAM...

 Mwanafunzi wa Sekondary ya Loyola akipelekwa kwenye gari kuelekea Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo mchana, baada ya bajaj yenye namba za usajili MC 402 AWD waliokuwa wameikodi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAITAFUNA KAGERA SUGAR 3-1

Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza (wa pili kulia) akishangilia sambamba na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIYO MAGUFULI ALIVYOTIKISA CHATO

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha  Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo mkubwa wakati akiwahutubia wakazi wa Chato na vitongoji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI ZA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA-MBEYA

Ofisa Masoko na Uhusiano Mwandamizi wa UTT AMIS, Martha Mashiku akitoa elimu ya uwekezaji wa pamoja kwa wafanyakazi wa hospitali ya rufaa ya Mbeya. Mkurugenzi wa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS, Daud...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msanii wa nyimbo za Injili, Emanuel Mbasha ashinda kesi ya ubakaji

 Msanii wa nyimbo za Injili, Emanuel Mbasha, Munde akiwa amepiga magoti huku akilia kwa furaha baada ya kushinda kesi ya ubakaji katika mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wakili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AZINDUA KAMPENI ZAKE KATA YA MTINKO

 WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu,  akiingia kuzindua rasmi kampeni zake katika Uwanja wa Mtinko huku akisindikizwa na msafara mkubwa wa...

View Article

Wizara ya mawasiliano yawapiga msasa watekelezaji wa sheria ya makosa ya...

NA KENNETH NGELESI,MBEYAKUTOKANA na uelewa mdogo wa wananchi juu ya sheria ya makosa ya mtandao na miamala ya kielektroniki kumekuwa na tafsiri hasi kwa  wananchi  juu ya maudhui ya sheria hizo na...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live