Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi wa kisarawe washiriki mdahalo wa Ajenda ya Watoto kuelekea Uchaguzi...

Ndg Abel Mudo, mgombea wa udiwani kata ya Kisarawe kupitia CCM akichangia katika mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo ulihusisha pia wakazi wa kata ya kisaraweBaadhi ya wakazi ya kata wa kisarawe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA...

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA MICHEZO WATAKIWA KUISAIDIA SERIKALI

KAIMU Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi (Kulia) akikadhi cheti cha Tuzo kwa mdau, Abbas Ally wa Kampuni ya Isere Sports inayouza vifaa vya michezo aliyeshiriki kufanikisha mkoa wa Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA LEO

Kwa katuni zaidi soma gazeti la Tanzania Daima.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AZINDUA KAMPENI KATA YA MTINKO

 WAZIRI wa Maliasili na Utalii na mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu,  akiingia kuzindua rasmi kampeni zake katika Uwanja wa Mtinko huku akisindikizwa na msafara mkubwa wa...

View Article


MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA...

RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MAGUFULI ASEMA HAKUOMBA URAIS KUTAFUTA FEDHA BALI KUWAFANYIA KAZI WANANCHI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, akijinadi kwa wananchi kwenye mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Gymkhana mjini  Bukoba/Dk Magufuli amesema kuwa yeye alipoamua kugombea urais hakufuata fedha...

View Article

Solly Mahlangu, Muhando, John Lisu waanza kujifua

NA MWANDISHI WETUWAIMBAJI wanaotarajia kushambulia jukwaa la Tamasha la kuombea Amani wameanza rasmi kujifua ikiwa ni maandalizi ya tamasha hilo linalotarajia kuanza kutimua vumbi Oktoba 4 uwanja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ALIVYOFUNGA KAZI MASASI, MKOANI MTWARA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasili kwenye Uwanja wa Boma, Mjini Masasi Mkoani Mtwara, kulikifanyika Mkutano wake wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NJOO TUSHEHEREKEE PAMOJA KWENYE MKESHA WA EID NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA...

Sam Mapenzi pamoja (kulia) akiimba pamoja na Ashura Kitenge wakiendelea kuwakonga nyoyo mashabiki wa Skylight Band waliofika siku ya Jumapili kwenye kiota cha Escape One Mikocheni na leo sio ya kukosa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI APAMBANA NA MIGOGORO YA ARDHI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na wananchi wa Dar es salaam waliokuja kuwasilisha malalamiko yao kuhusu migogoro ya ardhi, kulia ni naibu wake Mhe. Angela...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE ATOA ZAWADI YA IDD EL HAJI KWA MAKUNDI MBALIMBALI

 Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Mwakilishi wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Regina Kuname msaada wa vyakula na kitoweo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PUSH UP ZA DK MAGUFULI ZAWA GUMZO NCHINI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akionesha umahiri wa afya yake kwa kufanya mazoezi ya Push Up wakati wa mkutano wa kampeni mjini Karagwe, mkoani Kagera leo. Dk Magufuli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA APATA KURA 158 MAGUFULI 30 KATIKA KURA ZA MAONI ZILIZOPIGWA NA WANANCHI

Mfanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Ismail Mohamed akisimamia zoezi la kupiga kura za maoni zilizopigwa na wananchi katika maeneo tofauti ambapo mgombea wa  Urasi wa Ukawa kupitia Chadema,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka...

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Kilindi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEKA HEKA ZA KAMPENI ZA DK MAGUFULI GEITA

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (juu kulia) akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Karangalala mjini Geita leo. Dk Magufuli  akishinda urais amehidi kuboresha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GLOBAL EDUCTION LINK (GEL) YAZIDI KUPATA MAFANIKIO YA KUSAFIRISHA WANANFUNZI...

Mapema jana Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda nchini China kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI APIGWA NA BUTWAA NYOMI LA GEITA, AAHIDI KUSHUGHULIKIA MATATIZO YA...

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania   kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano wake wa kampeni  uliofanyika katika uwanja wa shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LINDI WAONYESHA MAHABA YA DHATI KWA LOWASSA, WANACCM ZAIDI YA ELFU 3 WA JIMBO...

Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>