
majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam.

Rais Kikwete na viongozi wengine wakifurahia sanamu ya ukutani inayopamba eneo la mapokezi.

Rais Kikwete akiwa na Bodi ya PSPF

Rais Kikwete akifungua mabango kuzindua sanamu kubwa ya PSPF

Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS

Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS.