Msanii wa nyimbo za Injili, Emanuel Mbasha, Munde akiwa amepiga magoti huku akilia kwa furaha baada ya kushinda kesi ya ubakaji katika mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Emmanuel Mbasha akitoka katika chumba cha mahakama huku akilia kwa furaha baada ya kushinda keshi ya ubakaji.