Gharika ya watu yashuhudia uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM za kugombea urais...
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar...
View ArticleUFAHAMU VYEMA MOYO WAKO "CARDIAC ARRHYTHMIA"
‘Cardiac Arrhythmia’ ni pale mtu anapokuwa na mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida au yanayodunda sana. Mwili una mfumo asili wa umeme unaosaidia moyo kufanya kazi. Mfumo huu husababisha moyo kutanuka na...
View ArticleWANANCHI WA KIJIJI CHA KISUMBA MKOA WA RUKWA WAZUIA MSAFARA WA MGOMBEA MWENZA...
Gari la mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji likilazimika kugeuza na kurudi katika eneo walilokusanyika wananchi waliokuwa na kiu ya kutaka ahutubie mkutano wa kampeni katika kijiji...
View ArticleMgombea Mwenza CCM Aupukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi
Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa Mnazi Mmoja nje kidogo ya mji wa Lindi Mjini kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi, Bi. Samia...
View ArticleMCHANGANYIKO WA ASALI NA MDALASINI KATIKA KUTIBU CHUNUSI SUGU
Asali ikiwa imechanganywa na mdalasini tayari kwa matumiziWadau wetu wale ambao wanasumbuliwa sana na CHUNUSI iwe USONI, KIFUANI, MGONGONI n.k wanaweza tumia mchanganyiko mzuri wa ASALI na MDALASINI WA...
View ArticleLOWASSA AENDEKEA NA ZIARA YA KAMPENI MKOANI SHINYANGA LEO, AAHIDI KUUNDA...
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mngeja wakiwapungia...
View ArticleMAGUFULI ALIVYOTIKISA MJINI TABORA LEO
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli,akiwahutubia Wananchi wa Tabora jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi.Dkt Magufuli alisema kuwa Serikali...
View ArticleMAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas , ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati...
View ArticleWATANZANIA WAJITOKEZA HARAMBEE YA CSI UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC
Ivan Matovu akisherehesha harambee ya Childbirth Survival International iliyofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumamosi Septemba 12, 2015 katika chumba cha mkutano...
View ArticleEFM YAANZISHA SHINDANO LA KANGA KWA WANAWAKE KUPITIA KIPINDI CHA UHONDO
Ofisa Habari, Lydia Moyo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam wakati akimkaribisha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo kuzungumza na wanahabari....
View ArticleBALOZI SEIF ALI IDD AZINDUA MASKANI YA VIJANA WA CCM ZANZIBAR
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seifakizindua Maskani ya CCM ya Vijana wa Jimbo la Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba iliyopewa jina lake. Balozi Seif akipandisha Bendera ya...
View ArticleMAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI MKOANI TABORA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa...
View ArticleUKAWA WAFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATAVI VIJIJINI
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar (CUF), Habib Mnyaa akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi. (Picha...
View ArticleMgombea mwenza CCM asema ni Mwiko Serikali Kuwakopa Wakulima wa Korosho
Mgombea wa ubunge Jimbo la Mtama na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye akizungumza na wapiga kura wake katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia...
View ArticleMASK YA ASALI, NDIZI MBIVU na NDIMU kwa WALE WENYE USO WA MAFUTA
MASK YA ASALI, NDIZI MBIVU na NDIMU kwa WALE WENYE USO WA MAFUTA Kama mlivyoomba wadau kwa wale wenye USO wenye MAFUTA mengi hii ni MASK unayoweza kutumia ukiwa nyumbani na ikakuaaidia. Nini cha...
View ArticleTANGAZO LA KIFO CHA MARGARETH MWAISAGA
Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited, wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika...
View ArticleAWAMU YA PILI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE
Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana....
View ArticleWAWEKEZAJI UTURUKI WAALIKWA KUWEKEZA HIFADHI ZA TAIFA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa)Allan Kijazi akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp(katikati)aliyefika makao makuu ya Shirika hilo leo,kulia ni...
View Article