$ 0 0 Rais Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo, Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima. (Picha na Ikulu)