Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

WALIOPIGANA VITA KUU YA PILI YA DUNIA 1939-45 NA VITA YA IDD AMINI WAKUMBUKWA DAR

$
0
0
Askari wa zamani aliyekuwa na cheo cha kapteni, David Nickol Mbe (kulia) akizungumza na Meya wa Ilala, Jerry Silaa wakati wa kuweka mashada ya maua katika mnara uliopo Posta Mpya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwakumbuka mashujaa waliopigana vita vya pili vya Dunia 1939- 45 na vita vya Idd Amin 1978-79. (Picha na Francis Dande)
 Picha ya pamoja.
 Balozi mdogo wa Uingereza, Penny Smith akiweka shada la maua.
 Mshauri wa masuala ya kijeshi katika ubalozi wa Uingereza nchini, Brigedia Dancun Francis akiweka shada la maua.
Askari wa zamani aliyepigana Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Kapteni David Nickol Mbe, akiweka shada la maua katika mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa uliopo Mtaaa wa Samora jijini Dar es Salaam jana, kuashiria kuwakumbuka mashujaa  waliopigana Vita Kuu ya Pili ya Duni na vita ya Tanzania na Uganda mwaka 1978 -79.
Ofisa Biashara Ubalozi wa Uingereza, Fatuma Kweka akiweka shada la maua kama ishara wa kuwakumbuka mashujaa waliopigana katika vita Kuu ya pili ya Dunia na vita ya Idd Amin Dada.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>