Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AZIMA MARUFUKU MAGARI YA TANZANIA JKIA

Na Mwandishi WetuWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema serikali ya Kenya imekubali kuyaruhusu magari ya abiria na watalii kutoka Tanzania, kuingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Jomo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DORIS MOLLEL KATIKA UZINDUZI WA BWENI LA KWANZA KWA WATOTO WA JAMII YA...

Miss Singida Kanda ya Kati 2014/15,Doris Mollel (wa pili kushoto) akiongea na waandishi wa habari wakati alipohudhuria kwenye hafla ya ufunguzi wa bweni jipya maalum kwa watoto wa jamiii ya hadzabe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aqua Decor yatoa mafunzo ya kupaka rangi kisasa kwa vijana 50

Meneja Masoko wa Kampuni ya Aqua Decor akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kufunga kuhusu mafunzo maalumu ya kupaka rangi za nyumba kisasa,  mafunzo hayo yalikuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ARSENAL KUUZA VIFAA VYA MICHEZO KWA NJIA YA MTANDAO KWA MASHABIKI WA TANZANIA

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula (kushoto), Meneja Maendeleo wa Arsenal, Daniel Willey (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Arsenal, Sam Stone.  (Picha na Francis Dande)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WAWASHUKURU WAKAZI WA MAKOKA, KIBANGU

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akiwahutubia wakazi Mtaa wa Makoka Kata ya Makuburi wakati wa mkutano wa kuwashukuru wakazi wa mtaa huo baada ya...

View Article


WACHEZAJI WAWILI VPL, FDL WAPIGWA FAINI

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imewapiga faini na  kuwafungia mechi wachezaji wawili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kwa kufanya vitendo kinyume na kanuni zinazotawala...

View Article

KILIMANJARO FC YANUSA UBINGWA MKOA WA K'NJARO

Na Mwandishi Wetu, MoshiKLABU ya Kilimanjaro FC ya Pasua, inayocheza ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro, imepiga hatua moja mbele katika harakati zake za kutwaa ubingwa wa mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAPE;WANAOTAKA URAIS CCM, WAPAMBE WAO WANAONEZA TAARIFA ZA UONGO KUADHIBIWA

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari, Katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibara asubuhi hii, kuhusu moja ya maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM, ya kuwataka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPITIA TAARIFA ZA FEDHA ZA TRA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe (katikati) akiwauliza maswali viongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuhusu taarifa za Fedha za Mamlaka hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Statement on SPLM Agreement in Arusha

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax:...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE FILIKUNJOMBE ATOA MSAADA WA ZAIDI YA TSH MILIONI 15 UKARABATI WA...

Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa  Deo Filikunjombe  akizungumza na  waumini wa kanisa la RC Madunda mara  baada ya  kusaidia kanisa  hilo kiasi cha Tsh milioni 15  za ukarabati wa kanisa na vinanda  viwili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ISACA TANZANIA YATOA SEMINA KUHUSU USALAMA WA MITANDAO

 Makamu wa Rais wa Isaca Tanzania Chapter ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Serikali Mtandao, Dk. Jabir Bakari akitoa hotuba yake wakati akifungu semina kuhusu usalama wa mifumo ya kompyuta...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU AZIDI KUFANYA MAKUBWA MALIASILI NA UTALII, MAREKANI NA UJERUMANI...

Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous, Benson Kibonde akimpatia maelezo kuhusu masalia ya injini ya mvuke iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu (kushoto), waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAENDELEO BANK YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MB MOBILE

Naibu wa Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MB Mobile ya Maendeleo Benki uliofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)Naibu wa Waziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA KUAPISHWA NA WAKILI WAKE, ATIMAYE MANISPAA YA ILALA YAMWAPISHA...

Mwanasheria wa Manispaa ya Ilala, Hella Mlimanazi (kushoto), akiwaapisha Wenyeviti wateule wa serikali za Mitaa wa Migombani na Minazi Mirefu katika Kata ya Segerea jijini Dar es Salaam, Japheth Kembo...

View Article

6 ZAFUZU ROBO FAINALI KOMBE LA TAIFA WANAWAKE

Timu za mikoa sita tayari imepata tiketi za kucheza robo fainali ya michuano ya Kombe la Taifa la Wanawake itakayoanza Januari 26 mwaka huu jijini Dar es Salaam wakati nyingine mbili zinajulikana leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yatoa msaada wa vitabu shule ya sekondari Kiteto Manyara

 Wanafunzi wa shule ya sekondari kiteto wakionyesha vitabu baada ya kukabithiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel chini ya mradi wake wa Airtel shule yetu wenye lengo la kuchangia katika sekta ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWZ lakanusha taarifa za kutumia nguvu

 Msemaji wa Jeshi la Wananchi (JWTZ),Meja Joseph Masanja, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kukanusha taarifa za jeshi  kutumia nguvu wananchi eneo la Tondoroni Wilayani Kisarawe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUSOMBA MKURUGENZI MPYA WA MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax:...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>