MICHUANO YA WANAWAKE TAIFA CUP KUANZA DESEMBA 28
Michuano ya Taifa ya mpira wa miguu kwa wanawake ya Proin Women Taifa Cup inaanza rasmi Desemba 28 mwaka huu kwa mechi ya ufunguzi kati ya timu za mikoa ya Mara na Mwanza itakayochezwa Uwanja wa CCM...
View ArticleWAFANYAKAZI WA TBL WALIOPIMWA VIRUSI VYA UKIMWI WAZAWADIWA
Mgeni rasmi Ofisa Uendeshaji, Rasirimali watu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Collins Constantine, akishishirikiana na wafanyakazi wenzake wa TBL kuwasha mishumaa kuwakumbuka wenzao waliopoteza...
View ArticleKamati ya Bloggers Tanzania Yaanza Kujadili Rasimu
Mwenyekiti wa Muda wa Wamiliki wa Mitandao ya Jamii Tanzania (Bloggers), Joachim Mushi (wa pili kushoto), akizungumza wakati akifungua majadiliano kwa wajumbe wa kamati ya muda ya wamiliki wa...
View ArticleWAZIRI WA UCHUKUZI DK .HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA JENGO LA MAMLAKA YA USAFIRI...
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (wa tatu kutoka kulia) Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu, Peter Serukamba, Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu Serikali ya Mapunduzi ya...
View ArticleSelcom Wireless yadhamini tuzo za Taswa
Meneja Biashara, ukuzaji na Masoko wa kampuni ya Selcom Wireless, Juma Mgori (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na udhamini wa Tuzo za wanamichezo bora za Chama cha waandishi wa...
View ArticleYANGA YAIZIMA EXPRESS YA UGANDA KWA BAO 1-0
Mrisho Ngassa (kulia) na Andrey Countinho waniwania mpira.Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo. Hekaheka. Salvatory Edward.Kocha Msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa.Nizar Khalfan akipiga shuti....
View ArticleKibaden: Sijafa jamani, .awapa pole waliomzushia kifo
Na Mwandishi WetuKOCHA maarufu nchini na nyota wa zamani wa Klabu ya Simba, Majimaaji na timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Abdallah ‘King Mputa’ Kibaden, ameibuka na kusema hajafa na kwamba yu...
View ArticleMEMBE azindua mfuko wa elimu UB
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya pili ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB) akipokelewa na Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho...
View ArticleRais Kikwete afanya Kisomo Kumshukuru Mwenyezi Mungu Kwa Kupona
1.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya Mashekhe na wageni waliohudhuria hafla ya kisomo maalum cha Kumshukuru Mwenyezi Mungu baada ya kufanyiwa upasuaji na kurejea nyumbani salama...
View ArticleANGLICANA TANGA WAANZISHA MFUKO WA MAFUO YA UZEENI KWA WATUMISHI WAKE
KANISA la Anglicana Dayosisi ya Tanga limeanzisha mfuko wa kulipa malipo ya uzeeni (Pensheni), watumishi wake kama mafao yatakayowasidia baada ya kustaafu utumishi katika kanisa hilo.Hayo yalisemwa na...
View ArticleCHADEMA KWENDA MAHAKAMANI KUSIMAMISHA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TEMEKE
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo kinatarajia kwenda Mahakamani kusimamisha uchaguzi wa Serikali za mitaa wilayani Temeke kutokana na kuenguliwa mgombea wake wa nafasi ya uenyekiti...
View ArticleTRA YAPATA TUZO YA KUWEKA KUMBUKUMBU YA MAHESABU VIZURI
Kamishna Mkuu wa TRA Rished Bade akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupokea tuzo za kuweka mahesabu vizuri kwa taasisi bora za serikali mwaka 2013-2014 iliyotolewa NBAA. (Na Mpiga Picha...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEUA MKUU MPYA MMOJA WA MKOA NA KUWAHAMISHA VITUO VYA KAZI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita kuanzia jana, Jumamosi, Desemba 6, 2014.Taarifa...
View ArticleANSAF YAKUTANA NA WADAU WA KILIMO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na masuala ya kilimo (Ansaf), Audax Rukonge akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano uliowakutanisha wajasilimali...
View ArticleTICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini - Tanzania International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace (kulia) akimkabidhi zawadi kwa timu kapteni wa timu ya Operations...
View ArticleBodi ya Utalii Tanzania (TTB) Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland (SAFC)...
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mh. Peter Kallaghe na Garry Hutchinson Mkurugenzi wa Biashara wa timu ya mpira ya Sunderland wakionyesha jezi ya iliyoandikwa Tanzania yenye rangi za timu hiyo...
View ArticleAirtel yazindua HOME Wi-Fi, huduma ya Internet kuunganisha familia nzima kwa...
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Tanzania,Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi huduma mpya ya HOME WI-FI itakayowawezesha wateja wake watumiaji...
View ArticleCCM WAMSHAMBULIA MDHAMINI CHADEMA
ABDALLAH NA SHEHE SEMTAWAMJUMBE wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Hassanali, amedai kushambuliwa na katibu kata wa kata ya Kisutu kupitia Chama cha Mapinduzi...
View ArticleCRDB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA TUZO ZA NBAA UPANDE WA MABENKI
Naibu waziri wa fedha Adam Malima akimkabidhi meneja wa fedha wa benki ya CRDB Sosteness Biseko tuzo ya NBAA ya ushindi katika uandaaji wa taarifa bora za fedha mwaka 2013-2014,jumla ya benki tisa...
View ArticleCRDB YAIPIGA 'JEKI' CHUO KIKUU CHA ST JOHN'S DODOMA
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya CRDB, Philip Alfred akihutubia wakati wa Mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha St. John's Mjini Dodoma mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu)Askofu wa Kanisa la...
View Article