Idris azoa Mil 500/- za BBA
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa msimu wa tisa, Idrisa Sultan ambaye ni Mtanzania (kushoto) akifurahia mara baada ya kutangazwa mshindi. Mshindi wa shindano la Big Brother Africa msimu wa...
View ArticleMAADHIMISHO YA MIAKA 53 YA UHURU WA TANGANYIKA
Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono mamia ya watu waliofurika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo wakati wa maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika. Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya...
View ArticleTRA KUCHAMBUA RIPOTI YA KITUO CHA UTAFITI CHA KODI CHA KIMATAIFA (ICTD)
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rished Bade, kushoto akiwa na afisa mtendaji mkuu wa kituo cha kimataifa cha kodi na maendeleo, Prof Mick Moore, wakiongoza majadiliano juu ya mada...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI IKULU DAR
Baadhi ya watu mashuhuri waliotunukiwa Nishani na Rais Jakaya Kikwete. Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto), Rais mstaafu Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
View ArticleDk. Shein mgeni rasmi Tuzo za Taswa
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (Taswa), Amir Mhando akifafanua jambo kuhusu maandalizi ya hafla ya utoaji wa tuzo kwa wanamichezo bora wa mwaka ambapo mgeni rasmi anatarajiwa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE ATOA NISHANI YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KWA...
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne, Stephen Hiza (Mgosingwa) kwa niaba ya Atomic Band. Na Mwandishi WetuBENDI ya Muziki wa Dansi Atomic Jazz...
View ArticleUTT-AMIS YATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA MASUALA YA UWEKEZAJI
Ofisa Mafunzo na Masoko wa UTT-AMIS, Waziri Ramadhani akitoa maelezo kwa baadhi ya watu waliofika katika banda lao wakati wa Maonyesho ya Maadhimisho ya Miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika yaliyoandaliwa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE ATOA NISHANI YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KWA...
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Muungano Daraja la Nne, Stephen Hiza (Mgosingwa) kwa niaba ya Atomic Band. Na Mwandishi WetuBENDI ya Muziki wa Dansi Atomic Jazz...
View ArticleBENKI YA POSTA YAZINDUA MIKOPO YA ELIMU KWA WANACHAMA WA PSPF
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka (kushoto), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi wa pili kushoto na Ofisa Mtendaji Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu wakifunua kitambaa kuashiria...
View ArticleMDAU ANGELA AKILIMALI NA WENZAKE WALA NONDO YA MAWASILIANO YA UMMA
Kaimu Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika mahafali yaliyofanyika hivi katibuni...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI YAFANYIKA MKOANI DODOMA
Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Dodoma Bi. Amina Mfafaki akifafanua jambo wakati alipokuwa akiongea wakati wa kufunga maadhimisho ya siku 16 ya kupinga ukatili kwa wanawake na watoto katika ukumbi wa...
View ArticleBENKI YA POSTA YATOA STIKA ZA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga akibandika stika yenye namba za simu za Makamanda wa Polisi wa Mikoa katika basi lenye namba za usajili T 350 CXL lililokuwa likielekea...
View ArticleWateja wa TTCL Kununua Salio Kupitia ‘Mobile Banking’
Meneja Mipango na Mauzo wa TTCL, Benjamin Bizere (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa huduma ya kuongeza salio kwa kupitia simu za mkononi (Mobile Banking)...
View ArticleBW. GEORGE SHINGA MTAMBALIKE KUUFANYA MTAA WA MOGO KIPAWA KUWA WA KISASA
Mgombea wa Uenyekiti wa Mtaa wa Mogo kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. George Shinga Mtambalikeakizungumza na waandishi wa habari huko Ukonga majumba siti wakati akizungumzia juu ya kameni za uchaguzi...
View ArticleTBL YATOA SH. MIL 18 ZA KUSAIDIA UKARABATI WA MIUNDOMBINU ILIYOHARIBIKA SOKO...
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner...
View ArticleMWANZA KUFIKIA MALENGO YA MILENIA KUKABILIANA NA AFYA YA MAMA NA MTOTO...
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akifungua Mkutano huo.Na Atley Kuni, Ofisa Habari MwanzaMkoa wa Mwanza umejiwekea malengo makubwa ili kukabiliana na afya ya uzazi na malezi bora kwa mtoto...
View ArticleKATIBU MKUU WA UVCCM NDUGU SIXTUS MAPUNDA AWALIPUA CHADEMA, ANYAKA TAARIFA ZA...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (M-NEC) Ndugu Sixtus Mapunda amesema kuwa Chadema wamepanga njama haramu za kuvuruga uchaguzi wa...
View ArticleSIMBA YAINYOA YANGA 2-0, MASHABIKI LUKUKI WAZIMIA UWANJANI
Kocha wa Simba, Patrick Phir akisalimiana na kocha wa Yanga, Marcio Maximo kabla ya mchezo. (Picha zote na Francis Dande) Emmanue Okwi akiomba dua wakati akiingia uwanjani. Mgeni rasmi akisalimiana na...
View Article