Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

MIKOA MITANO YATAKIWA KUWASILISHA USAJILI COPA 2014

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeitaka mikoa mitano kuwasilisha usajili wa wachezaji wake kwa ajili ya mashindano ya Taifa ya Copa Coca-Cola 2014 kabla ya Desemba 5 mwaka huu.Mikoa hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AMUAPISHA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam jana. (Picha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEPPY BESDEI MDAU DANIEL CHONGOLO

 Mdau wa Globu ya jamii,Daniel Chongolo leo anasherehekea siku yake adhimu ya kuzaliwa, Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndiye ajuae sababu ya kumuacha hadi hii leo na hakuna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI WAELEZEA WALIVYOWEZESHWA NA PROMOSHENI YA SAFARI LAGER WEZESHWA...

 Jacquline Shija Mazemle, aliyewezeshwa na TBL na kufanikiwa kuanzisha mghahawa maarufu wa FACEBOOK, ulioko karibu na Chuo Kikuu cha Kampala, Gongo la Mboto, Dar es Salaam.Akiandaa chakula na wenzake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AANDIKA HISTORIA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

ZIARA YA KINANA MIKOA YA LINDI NA MTWARA YAINGIZA  WANACHAMA ZAIDI YA 40,000 CCMMKUTANO WA HADHARA MTWARA MJINIWakazi wa Mtwara mjini wakishangilia wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM ukiongozwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YASAINI MKATABA WA HALI BORA ZA WAFANYAKAZI WAKE

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa uwekaji saini wa Mkataba wa Hali Bora za Wafanyakazi na Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Fedha, Viwanda, Biashara,...

View Article

Ridhiwan Kikwete kuzindua rasmi mazoezi ya Wakulima Jazz Band

Mbunge wa Chalinze, Mheshimiwa Ridhiwan Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa mazoezi ya Bendi ya Wakulima inayoundwa na wanamuziki wakongwe nchini. Mbunge huyo ambaye ni mmoja wa...

View Article


Membe mgeni rasmi mahafali UB

Na Mwandishi Wetu  WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe , Jumamosi ya wiki hii anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi Katika Mahafali ya Pili ya  Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB).Kwa...

View Article


Membe mgeni rasmi mahafali UB

Na Mwandishi Wetu  WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe , Jumamosi ya wiki hii anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi Katika Mahafali ya Pili ya  Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB).Kwa...

View Article

INTRODUCING NEW TRACK-WEMA NI AKIBA YA JENNIFER MGENDI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMKE AJIFUNGUA WATOTO 11 INDIA

Mwanamke wa India katika kile kinachoonekana kuwa maajabu ya dunia ya aina yake kuwahi kutokea duniani amefanikiwa kujifungua salama watoto wafuatao 11 (kumi na moja) kwa mara moja, jambo ambalo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MRAKIBU WA POLISI CAPT.KIDAI SENZALA ALIYEFARIKI KATIKA AJALI YA...

Maafisa wa Polisi wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Marehemu Capt. Kidai Senzala Kalise aliyefariki Novemba 29 mwaka huu katika ajali ya Helkopta iliyotokea Kipunguni B-Moshi Bar Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMATRA YATAHADHARISHA WANAOSAFIRI KIPINDI CHA MSIMU WA SIKU KUU ZA MWISHO WA...

Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam juu ya hali ya usafiri kipindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBOWE AWANADI WAGOMBEA WA SERIKALI ZA MITAA KUPITIA UKAWA KATIKA KATA YA...

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe  akihutubia katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika katika viwanja Kata ya Vijibweni Kigamboni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Membe mgeni rasmi mahafali UB, kufanyika kesho Bagamoyo

Na Mwandishi Wetu  WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernad Membe, kesho Jumamosi Desemba 6 anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi Katika Mahafali ya Pili ya  Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB).Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAHADHARI KUTOKA MICHUZI MEDIA GROUP

MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE (PICHANI) AMBAO UPO KWENYE FACE BOOK NA HATA KWENYE TWITTER) KWAMBA UJUMBE...

View Article


Wagombea Chadema Mbarali wafungwa miaka miwili na nusu jela

NA KENNETH NGELESI, MBEYACHAMA cha DemokrasiA na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya kimelaani hatua ya Mahakama ya Mwanzo Chimala Wilayani Mbarali, Kuwahukuma kutumikia kifungo miaka miwili na Miezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ugonjwa wa sare waitesa Simba, yatoka suluhu naThe Express ya Uganda

 Magolikipa wa Simba, Manyika Peter na Ivo Mapunda  wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya mchezo wao wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya The Express ya Uganda, katika mchezo huo timu hizo hazikufunga....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LWAKATALE AIBWAGA SERIKALI KESI YA UGAIDI

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare (wa tatu kushoto) akiongozana na familia yake wakati akitoka katika Mahakama ya Rufaa Tanzania, baada...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>