Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YALAZIMISHWA SARE NA MBEYA CITY, ZATOKA 2-2

 Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mbeya City, Yohana Morris katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAJITOKEZA MKUTANO WA KUDAI MCHAKATO HURU WA KATIBA MPYA

Umati wa watu waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha wananchi wote uliofanyika leo kwenye viwanja vya Jangwani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 24

FUTURE YOUNG TAIFA STARS YAWAUMBUA TAIFA STARS, YAICHAPA 1-0Mshambulia wa Taifa Stars, Mrisho Ngasa (kulia) akichuana na mchezaji wa Future Young Taifa Stars, Kabanda katika mchezo kirafiki uliofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 23

MANISPAA YA ILAA LAWAMANI KERO YA MAEGESHO YA MAGARI Magari yakipita kwa shida katika mtaa wa Kasanga Kata ya Gerezani Kariakoo jijini Dar es Salaam kutokana na ufinyu wa eneo la kuegesha magari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 22

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA DK. SENGONDO MVUNGI NYUMBANI KWAKE KIBAMBARais Jakaya Kikwete akiwa na Mwenyekiti wea Taifa wa NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbati na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 21

MWILI WA DK. SENGONDO MVUNGI KUWASILI NOVEMBA 15, KUAGWA KARIMJEE HALLMwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu kifo cha Mjumbe wa Tume...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 20

WATUHUMIWA WA MAUAJI YA DK. SENGONDO MVUNGI WAFIKIA 10DAR ES SALAAM, Tanzania JESHI la Polisi linamshikilia John Mayunga (56) mkazi wa Kiwalani jijini Dar es Salaam kwa tuhuma ya kumjeruhiwa kwa...

View Article

Article 19

KIM ATEUA 32 KUIKABILI KENYAKocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen ameunda kikosi cha wachezaji 32 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Kenya (Harambee Stars) itakayochezwa Jumanne,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 18

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YATOA MSAADA WA MABENCHI YA KUPUMZIKIA HOSPITALI YA PALESTINA-SINZAMkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (kushoto), akimkabidhi msaada wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 17

MAHAFALI YA TISA CHUO CHA UTALII CHA GRACE COLLEGE Wahitimu katika fani ya Uhaziri na usimamizi wa Hoteli katika Chuo cha Grace College kilichopo katika eneo la Forest ya zamani  wakiwa katika maandamo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 16

WAHABESHI 22 MBARONIRaia 22 wa Ethiopia wakiwa katika ofisi za uhamiaji jijini  Dare-sa-Salaam jana baada ya kukamatwa juzi katika eneo la Kinondoni  kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. (Picha na...

View Article

Article 15

SERIKALI IWABANE WACHINA WA KARIAKOONa Mwandishi WetuUMOJA wa Wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, wameitaka serikali kutoa ufafanuzi kuhusu vibali vya Wachina wanaofanya biashara za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 14

KAMPUNI YA DELINA GROUP DGE YATOA VIFAA VYA MAMILIONI YA PESA KUSHINDANISHA UHURU CUP KWA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA MAREKANIKampuni ya Delina Group (DGE) inayomilikiwa na Bw. Davis Mosha imekabidhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 13

WAISLAMU WAHIMIZWA KUSHIKAMANA KATIKA ELIMU SHEIKH Athman Kaporo (kulia), wa Taasisi ya DYCCC  amewataka Waislamu nchini kushikamana katika suala la elimu ili kuleta mapinduzi ya haki kwenye mfumo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 12

Deus Kulwa appointed Branch Manager Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC)ARUSHA INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE (AICC)PRESS RELEASEThe Arusha International Conference Centre (AICC)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 11

KITUO CHA KISUKARI CHA ST. LAURENT DIABETES CENTRE CHAZINDULIWA RASMI Muuguzi katika kituo hicho cha St. Laurent Diabetes Centre, akimpima Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 10

VIONGOZI WAMLILIA DK. SENGONDO MVUNGI MAZISHI YAKE KUFANYIKA KIJIJINI KWAKE KISANGALA JUU MKOANI KILIMANJAROPicha ya Dk. Sengondo Mvungi. Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa akisindikizwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 9

MAZISHI YA BI. MARTHA SHANINa Swahili TVKwa niaba ya Familia, Kamati ya Mazishi Marekani na Tanzania na ndugu na jamaa wote kwa ujumla tumeona ni vyema nanyi mkaona matukio yote kwani mlishiriki katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 8

HARUSI YA DONALDA NA NEEMA KATIKA PICHA Bw. harusi, Donald Massawe akiwa na mke wake Neema Mongi mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam. (Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 7

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA RIPOTI KUHUSU UGONJWA WA MNYAUKO WA MINAZIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali  imedhamiria kukabiliana na maradhi ya...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>