Rais Jakaya Kikwete akiwa na Mwenyekiti wea Taifa wa NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbati na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiki wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Dk. Sengondo Mvungi nyumbani kwake Kibamba nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam alipofika kuifariji kufuatia kifo cha Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Dk. Mvungi. (Picha na Francis Dande)
Rais Kikwete akisalimiana na Prof. Paramagamba Kabudi katika msiba wa Dk. Mvungi.
Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akiweka saini katika kitabu cha maombolezo.