SIMBA YAIFUNDISHA SOKA MGAMBO JKT. YAIFUNGA 6-0
Golikipa wa Mgambo JKT, Kulwa Manzi akiwa chini baada ya kupishana na mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe (kulia) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo...
View ArticleViingilio Redd’s Miss Tanzania vyatajwa *Mike Ross, Lady Jaydee kutumbuiza
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, Hashimu Lundenga akifafanua jambo wakati akitangaza viingilio vya shindano la Redd’s Miss Tanzania jijini Dar es Salaam jana, ambapo VIP, itakuwa Sh. 100,000 na...
View ArticleSerikali yaagiza Ununuzi wa Mahindi Safi na Bora
Na Mwandishi WetuWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. William V. Lukuvi (pichani)amewaeleza wakala wa Hifadhi ya Chakula NFRA kuzingatia ubora na usafi wa ununuzi wa mahindi...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 6 YA KIFO CHA MZEE SHAURI TIMOTHEO NATHAN
Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007) Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika mitano sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007)...
View ArticleKINANA AKOMAA NA MAWAZIRI
Sasa kuongozana na Mawaziri mguu kwa mguuAsema kazi yake ya kuijenga chama inahitaji watu makini kama mtu hawezi kasi yake awapishe.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikaribishwa kwa kahawa...
View ArticleBia ya Ndovu yaanzisha kampeni kuwalinda tembo
4..Meneja wa kinywaji cha Ndovu special Malt Pamerla Kikuli akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya udhamini wa bia ya ndovu kwenye kilele cha siku ya siku ya Tembo kitaifa...
View ArticleMIL 58/- ZAPATIKANA MECHI YA SIMBA, MGAMBO
Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba na Mgambo Shooting Stars iliyochezwa jana (Septemba 18 mwaka huu) katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 58,365,000.Watazamaji 10,241...
View ArticleRais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Katibu Mtendaji SADC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena L.Tax,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kumuaga Rais, baada...
View ArticleBAADHI YA MAGAZETI YA LEO SEPTEMBA 20, 2013
©2013 theNkoromo Blogwww.bashir-nkoromo.blogspot.com
View ArticleNSSF YAIPIGA JEKI ROCKY CITY MARATHON 2013
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini BMT, Dioniz Malinzi akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa mbio za Rocky Marathon. Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),...
View ArticleJWTZ LATOA UFAFANUZI KUHUSU AJIRA
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIAKURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANOSimu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJINI WASHINGTON D.C.
Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na Mhe. Rais Kikwete leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani. Picha na SwahilitvPicha na Swahilitv Mh. Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleKINANA AMALIZA ZIARA YAKE BUSEGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Lamadi kwenye Viwanja vya Kisesa wilaya ya Busega mkoa wa Simiyu na kuwaambia wananchi kuwa muda wa walimu kuendelea kupata tabu umeisha...
View ArticleMwanakijiji Kalenga awakumbuka wajawazito Hospital teule ya Iringa awapa...
Na Francis Godwin ,IringaMKAZI wa Kalenga wilaya ya Iringa mkoani hapa Bw Jackson Kiswaga ametoa msaada wa vitenda viwili vyenye thamani ya Tsh milioni 3.6 kwa Hospital teule ya wilaya ya...
View ArticleMIKAKATI YA KUBORESHA SHULE ZA JUMUIYA YA WAZAZI YAANDALIWA
Katibu wa CCM wilaya ya muheza mkoani Tanga, Josephine Thomasi (aliyesimama) akimkaribisha Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi mkoani humo, Dk.Edmund Mndolwa, wakati wa ziara yake ya kutoa shukrani kwa...
View ArticleVINARA SIMBA KUWAKABILI MBEYA CITY VPL
Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaingia raundi yake ya tano kesho (Septemba 21 mwaka huu) kwa mechi huku vinara Simba wakiwakaribisha Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Uwanja wa Mkwakwani,...
View ArticleRAIS AZINDUA MADRASA HIDAYA-TUL ISLAMIYA KIDOTI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuzindua Madrasa Hidayatul Islamia katika Kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,(kulia) Mkuu wa...
View ArticleWAPINZANI KUFANYA MKUTANO MKUBWA JANGWANI LEO, POLISI WAZUIA MAANDAMANO YAO
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam kwa ajili ya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Said...
View Article