Wahitimu katika fani ya Uhaziri na usimamizi wa Hoteli katika Chuo cha Grace College kilichopo katika eneo la Forest ya zamani wakiwa katika maandamo kuelekea ukumbini katika mahafari ya tisa katika chuo hicho ambapo wahitimu zaidi ya miamoja walitukikiwa vyeti na Mkurugenzi wa Kampuni ya Access Computer Limited Samwel Mtella. (Picha Kenneth Ngelesi)
Nyambo kulia mhitimu katika fani ya upisha katika chuo cha Grace College akivishwa taji la viungo vya pilau na mama yake mzazi katika mahafari ya tisa tangu kuanzishwa kwa chuo hicho. (Picha na Kenneth Ngeles)