ZIARA YA OBAMA; MANISPA YA ILALA YATIMUA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO MITAA YA...
Askari wa Manispaa ya Ilala wakiendesha zoezi la kuondoa wafanyabiashara ndogondogo katika eneo Posta mpya jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni operesheni ya kusafisha jiji la Dar es Salaam kabla ya...
View ArticleBarclays Bank yaendesha droo ya pili ya Maisha Bomba na Barclays Golden...
Meneja Mawasiliano wa Barclays, Tunu Kavishe, (katikati), Kaimu Mkurugenzi wa Benki, Kitengo cha Wateja Binafsi, Musa Kitoi wakiwa na washindi wa droo ya pili ya Golden Briefcase Campaign jijini Dar...
View ArticleShindano la Epiq Bongo Star Search 2013 lazinduliwa leo
Ofisa Biashara Mkuu wa Zantel, Sajid Khan ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2013, akifafanua jambo wsakati wa uzinduzi wa shindano hilo. (Picha zote Habari Mseto...
View Article'MY BABY' YAFANYA KWELI KIDEONI
Na Elizabeth JohnVIDEO ya ngoma inayokwenda kwa jina la ‘My Baby’ iliyoimbwa na nyota wa muziki nchini, Quick Rocka, Shaa na Marehemu Ngwea imeanza kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya...
View ArticleMADEE AISAMBAZA ALBAMU YA 'INNOCENT'
Na Elizabeth JohnKIONGOZI wa kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar es Salaam, Ahmed Ally ‘Madee’, ameachia albamu yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Innocent’ ambayo ni...
View ArticleBenki ya BADEA yaisaidia Tanzania dola 750 katika miradi ya maji na kituo cha...
Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa akiongea jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu kwa Maendeleo ya Afrika (BADEA) Abdelaziz Khelef wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya kuisaidia Tanzania...
View Article‘YAHAYA’ WA LADY JAY DEE AANZA KUTESA MTAANI
Na Elizabeth JohnBAADA ya kutamba na ngoma yake ya ‘Joto Hasira’ mwanadada ambaye anafanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ ameachia ngoma yake mpya...
View ArticleDIAMOND AISAMBAZA VIDEO YA 'UKIMWONA’
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ ameisambaza video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Ukimwona’ ambayo inafanya vizuri katika vituo...
View ArticleJOSHUA NASSARI AKIMBIZWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akichukuliwa vipimo na Daktari kabla ya kupanda ndege ya kukodi kupelekwa jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu zaidi...
View Article‘SIPENDI KUIONA SOWETO YA TANZANIA'
Na Bryceson MathiasWAKATI wananchi wa Afrika Kusini chini Mpigania Uhuru, Nelson Mandela, walipokuwa wakidai Uhuru wa kujikomboa, ilifikia mahali kule Soweto, Askari wa Makaburu waliwaua watu waliokuwa...
View ArticleYALIYOJIRI KATI YA TIMU YA BENKI YA NMB NA WABUNGE JIJINI DODOMA MWISHONI...
KatikakuendelezanakuimarishamahusianomazurikatiyaBenkiya NMB na waheshimiwa wabunge, Benkiya NMB iliandaa mtanange wa kukata na shoka ambao ulihudhuriwa na mashabiki wa timu hizo mbili ambao ni wakazi...
View ArticleNASSARI AENDELEA NA MATIBABU MOI
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akionesha simu yake ya mkononi iliyokuwa na matukio ya tukio la kufavamiwa kwake. Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa katika hospitali ya...
View ArticleCRDB YAZINDUA FAHARIHUDUMA
Meneja Mahusiano wa CRDB, Godwin Semunyu (wa pili kushoto) akiwa amepozi kwa picha na maofisa wa benki hiyo dakika chache kabla ya kumpokea na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Dk....
View ArticleMBOWE NA LEMA WAJISALIMISHA POLISI
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akitoka Polisi baada ya kuhojiwa.MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiongozana na Mbunge...
View ArticleKATIBU WA CHADEMA ALIYEKUFA KATIKA MLIPUKO WA MBOMU AZIKWA LEO
WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiongozwa na Grace Kiwelu (Viti Maalum) na Godbless Lema (Arusha Mjini) wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kata ya Sokoni...
View ArticleTabora Marathon yaishukuru Vodacom
Na Mwandishi WetuMSHAURI wa ufundi wa kamati ya maandalizi mbio za Tabora Marathon Tullo Chambo, ameishukuru kampuni ya simu ya vodacom kwa msaada wa fulani 100 zilizotolewa jana jijini Dar es...
View ArticleKONYAGI YAGAWA KWENYE MABAA VIFAA 130 VYA KUHIFADHIA TAKA DAR
Meneja Mauzo na Usambazaji wa kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Calabash iliyoko Mwenge, JUMA Kihoma, kifaa cha...
View ArticlePresident Kikwete meets African Pioneers Against AIDS Scourge
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete pose for a group photograph with some members of African leaders who are pioneers of War against AIDS pandemic in Africa. From left a Kenyan Public Health advocate...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MWAIKELA
MKE wa Rais,Salma Kikwete akiaga mwili wa marehemu, George Mwaikela ambaye ni mwana familia wa Kikwete na Mwenyekiti wa Chama Cha Wachimba Madini mkoa wa Mbeya (MBEREMA)aliyefariki kwa ajali ya gari...
View Article