FOMU ZA UONGOZI BFT ZADODA
Na Elizabeth JohnWADAU wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) wameshauriwa kujitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi mbali mbali za uongozi wa chama hicho baada ya viongozi waliopo madarakani...
View ArticleTENISI KUCHAGUANA JUNI 22
Na Elizabeth JohnWAKATI zoezi la kuchukua na kurudisha fomu za kugombea uongozi wa Chama Cha Tenisi Tanzania (TTA), lilifika tamati tarehe Juni 17, Mwenyekiti anayemaliza muda wake, Denis Makoi...
View ArticleMamia wajitokeza Epiq Open Mic
Vijana waliojitokeza wakiwa kwenye foleni. Jopo la washauri likongozwa na Marco Chali (wa pili toka kulia), akifuatiwa na Dknob, Walter na mwisho kulia ni Godzila Mmoja wa vijana akiimba mbele ya...
View ArticleKAMPUNI YA KONYAGI YAWAPA WABUNGE SEMINA KUHUSU VIROBA
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TDL, David Mgwasa akizungumza wakati wa Semina ya wabunge wa Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara iliyofanyika mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.Meneja Mauzo wa...
View ArticleBENKI YA NMB YA ZINDUA CHAP CHAP AKAUNTI KWA AJILI YA WATANZANIA WASIO NA...
Benki ya NMB imeendelea kuwa kinara katika kubuni na kuboresha huduma mbali mbali za kibenki, ili kuwawezesha wateja wake kupata unafuu na urahisi wa upatikanaji wa huduma za kibenki nchini Tanzania....
View ArticleIDADI YA VIFO MLIPUKO WA BOMU ARUSHA VYAONGEZEKA
Baadhi ya majeruhi wa mlipuko wa bomu lililotokea mwishoni mwa wiki mjini Arusha.ARUSHA, TanzaniaIDADI ya watu waliokufa kutokana na mlipuko wa bomu uliotokea mwishoni mwa wiki wakati Chama cha...
View ArticlePresident Kikwete meets Lord Hurd of Westwell
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets with the Chairman and FIRST advisory council Rt. Hon Lord Hurd of Westwell(right) in London this morning. Left is FIRST Chairman Mr. Rupert Goodman .FIRST is a...
View ArticleTUKIO LA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA; CCM, CHADEMA WANYOOSHEANA VIDOLE
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma.Itakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini....
View ArticleMATHIS BOLLY: YOSO ALIYERITHISHWA JEZI YA DROGBA IVORY COAST
Mathis Bolly, akiwajibika dimbani akiwa na jezi namba 11 ya nahodha wa Ivory Coast Didier Drogba. Hii ilikuwa ni mechi ya ushindi wa 3-0 iliyovuna Ivory Coast dhidi ya Gambia.Bolly akiwa katika jezi...
View ArticleCHADEMA HATUCHUKUI MILIONI 100 ZA SERIKALI KWA USHAHIDI WA ARUSHA
John Mnyika (MP)Na MwanablogPamoja na kuwa wana ushahidi wa Picha, Mikanda ya Video inayoonyesha jinsi Polisi walivyoshiriki kulipua bomu la Arusha, Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wamesema...
View ArticleKamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge Iwahoji Wakuu wa Usalama
Na Bryceson MathiasNI Muda Muafaka sasa, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge ichukue Jukumu lake iweze kuwaita na kuwahoji Wakuu wa Usalama wajieleze mbele ya Kamati kwa nini hali ya Usalama wa Raia...
View Article'YOHANA MTAKATIFU' KUZIPIGA MANZESE
Kwa mara nyingine limeandaliwa pambano la ngumi la ki aina yake ni kati ya mabondia wakimya na wapole usoni na wasiopenda kabisa kuongeaYohana Robert aliekuwa bondia wa taifa na mkongwe katika...
View ArticleZ-KILIMO KUWANUFAISHA WAKULIMA
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao Kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Dk. Mshindo Msolla akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa huduma ya taarifa za kilimo kupitia Kampuni ya simu ya mkononi...
View ArticleNIGERIA YAIFYATUA TAHITI 6-1 KOMBE LA MABARA 2013
John Obi Mikel wa Nigeria (kushoto), akimtoka kiungo wa Taihiti katika mechi ya ufunguzi Kundi B la michuano ya Kombe la Mabara 2013. Katika mechi hiyo, Nigeria ilishinda mabao 6-1 na kuongoza kundi...
View ArticleKilimanjaro Premium Larger kuanza ‘Kili Music Tour 2013” kwa kishindo Dodoma!
Dar es Salaam, Tanzania, Juni 18, 2013: Tanzania Breweries Limited (TBL) chini ya nembo yake ya Kilimanjaro Premium Lager, inaanza rasmi tamasha kubwa la muzikilijulikanalo kama ‘Kili Music...
View ArticleVURUGU ARUSHA; TUNDU LISSU, MUSTAFA AKOONAAY MBARONI
Moto uliowashwa na baadhi ya watu wakifunga barabara baada ya kutawanywa na Polisi kwa mabomu ya machozi katika viwanja vya SOWETO vilivyopo jijini hapa, barabara Iiliyopo eneo la Kaloleni. (Picha...
View ArticleTailor-Made Conference Packages right at the Heart of Arusha
Contact Us Today:Tel: +255 27 205 0075 , +255 786 066 060Email: gm@eastafricanhotel.com
View ArticlePPF IKATAE MCHEZO MCHAFU WA WAAJIRI
Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William ErioNa Bryceson MathiasMFUKO wa Pensheni ya Mashirika ya Umma (PPF) na Waajiri nchini, wametakiwa kuacha siasa na Mchezo Mchafu wa kutotekeleza Sheria za nchi na...
View ArticleWanafunzi kidato cha Sita wabebeshwa mzigo wa ualimu wa Sayansi Rombo
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Nduweni Sekondari, Venance Mramba. Baadhi ya wanafunzi Sekondari ya Nduweni wakiwa darasaniBaadhi ya wanafunzi wa Sekondari ya Urauri, Wilaya ya Rombo.Sehemu ya maktaba ya...
View Article