Kala Jeremiah, Twanga Pepeta, Godzila, Jhiko Man kupagawisha ‘World Music Day’
Kala JeramiahTamasha la muziki la kimataifa ambalo hufanyika Juni 21 kila mwaka la ‘World Music Day’ linafanyika leo Ijumaa katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam ambapo wanamuziki...
View ArticleCRDB YAMPA SHAVU MATALUMA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipokea mic kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Mataluma baada ya kumtaka aanza kuimba kabla ya msanii huyo kuanza kuimba wakati wa...
View ArticleLUIZA MBUTU KUJA NA 'MAISHA BAADA YA NDOA'
Na Elizabeth John BAADA ya miaka michache kutoka na wimbo wa Kuolewa, mwanamuziki Luiza Mbutu, anatarajia kuachia single nyingine ya ‘Maisha baada ya kuolewa’.Akizungumza na Habari Mseto, Mbutu alisema...
View ArticleFILAMU YAMFANYA IRENE PAUL AJIFUNZE KUENDESHA BAJAJI
Na Elizabeth JohnAKIWA bado anafanya vizuri katika filamu, mwanadada Irene Paul amesema kwamba filamu ya kibajaji ilimfanya ajifunze kuendesha chombo hicho kwa lazima ili kuleta uhalisia.Japo awali...
View Article'SUJUTII KWA NILIEKUWA NAE' YA BARNABA VIDEONI
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Barnaba Elias ‘Barnaba’ ameachia video ya kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Sijutii kwa niliekuwa nae’ ambacho kinafanya vizuri...
View ArticleCHEKIBUDI ASHUKURU MAPOKEZI YA 'DIKTETA'
Na Elizabeth JohnMUIGIZAJI wa filamu nchini, Mohamed Nurdin ‘Chekibudi’ amewashukuru wadau na wapenzi wa kazi zake baada ya kumpokea vizuri na kazi yake inayokwenda kwa jina la ‘Dikteta’, ambayo...
View ArticleWanaharakati Waichambua Bajeti Mpya ya Serikali 2013-14
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na wanaharakati ngazi ya jamii kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Morogoro, Pwani, Shinyanga na wadau wengi wa mtandao huo wameichambua bajeti mpya...
View ArticleAMINI 'HAYUPO NAE'
Na Elizabeth John BAADA ya kufanya vizuri na kibao chake cha ‘Ni wewe’, Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amin Mwinyimkuu ‘Amini’ anajipanga kuachia video ya kibao chake cha ‘Sipo nae’...
View ArticleANKAL AISHUKURU HOSPITALI YA KILUTHERI YA HAYDOM KWA KUMHUDUMIA VYEMA MWANAE
Nachukua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kutoka katika kilindi cha moyo wangu kwa Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyoko mkoani Manyara kwa matibabu waliyompatia mwanangu Ally Hassan (16)...
View ArticleSERIKALI MKOANI SHINYANGA YAONDOA BAADHI YA MICHANGO INAYOWAELEMEA WAZAZI
Serikali Mkoa Shinyanga imeondoa baadhi ya michango inayotozwa katika shule za Sekondari ambayo imekuwa kero na mzigo kwa wazazi, hasa mwanafunzi anapoanza kidato cha kwanza.Maamuzi hayo yamefikiwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE ENEO MAALUM LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wakazi wa jijini Tanga, wakati alipofika eneo la Pongwe jijini Tanga leo Juni 21, 2013 kwa ajili ya kuweka...
View ArticleKAULI YA PINDA; ASIYETII PIGA TUMECHOSHWA ITAMLIZA TENA?
‘Ngariba ukimpa mtoto atamfanya vyoyote atakavyo’Na Bryceson MathiasKUTOKANA na watanzania nchini kupoteza Imani na Jeshi la Polisi kila Kona ya nchi, kuwa linakisaidia Chama Tawala (CCM), huenda Kauli...
View ArticleKALA PINA 'NABII KOKO' APIGA BONGE LA SHOO
Chid Benz akikonga nyoyo za mashabiki wake wakati wa shoo ya Kikosi cha Mizinga kutimiza miaka 13 iliyofanyika katika ukumbi wa New Msasani jijini Dar es salaam. (Picha zote na Habari Mseto Blog)....
View ArticleLUCY TOMEKA ATWAA TAJI LA REDD'S MISS KINONDONI 2013
Mshindi wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013, Bright Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo...
View ArticleBAKITA LAMFAGILIA DK. ASHA-ROSE MIGIRO KWA KUKIENZI KISWAHILI
DAR ES SALAAM, TanzaniaNAIBU Katibu Mkuu Mstaafu wa Umnoja wa Mataifa (UN), Dk. Ash-Rose Migiro (pichani kushoto) amesifiwa kwa umahiri wa wake wa kutoingiza athari za Kiingereza katika Kiswahili,...
View ArticleMCHEZAJI WA KIMATAIFA WA CROATIA AFIA UWANJANI
Alen Pamic aliyelala, akipatiwa huduma ya kwanza na wachezaji wenzake katika moja ya mechi alizowahi kuzimia uwanjani hivi karibuni kutokana na matatizo ya moyo.Alen PamicZAGREB, CroatiaHivi karibuni,...
View ArticleWAWILI WAKAMATWA KUFUATIA TUKIO LA KUVAMIWA MBUNGE WA KASULU
ACP-David MisimeMnamo tarehe 20/06/2013 majira ya 19.00 hrs maeneo ya Area ‘E’ Manispaa ya Dodoma Mheshimiwa MOSES S/O MACHALI, miaka 31, Muha, Mbunge wa Kasulu Mjini kupitia NCCR – Mageuzi wakati...
View ArticleRAIS KIKWETE AMPONGEZA ASKOFU MKUDE KUTIMIZA MIAKA 25 YA UASKOFU.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Telesphori Mkude wa jimbo katoliki Morogoro wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 25 ya Uaskofu wake (Silver Jubilee)zilizofanyika katika...
View ArticleMWENYEKITI UVCCM TAIFA SADIFA JUMA HAMISI APINGA MFUMO WA SERIKALI TATU
MWENYEKITI wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi Taifa (UVCCM), Sadifa Juma Hamisi, amepinga vikali kuwepo kwa mfumo wa serikali tatu kama inavyopendeka rasimu ya katiba.Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,...
View Article