Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Askofu; Kikwete Chukua Hatua, Usiwalalamikie Viongozi wa Dini

Na Mwandishi Wetu, Makambako, NjombeMWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, ametakiwa kuchukua hatua dhidi ya Wagombea Urais wa Chama chake, wanaomwaga Mamilioni ya fedha kwa Vijana...

View Article


Mume Aua Mke naye ajinyonga

Na Bryceson Mathia, safarini Mbeya Vijijini.MWANAUME, Tatu Anderson (33), wa Kitongoji cha Ilomba, Kijiji cha Jojo, Kata ya Santilya, Wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya, amemuua Mkewe, Veronica...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA BANDA LA NSSF

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Khalfan alipotembelea banda hilo kwenye Maonyesho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YA GIDANI INTERNATIONAL YAJIZATITI...

Mkurugenzi Mkuu wa michezo ya Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Tarimba Abbasi akiteta jambo na Mwenyekiti wa michezo ya kubahatisha ya Gidan International Profesa , Bongani Aug Khumalo wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT AMIS YASHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA 39 NA KUTOA ELIMU YA...

Mifuko ya uwekezaji wa pamoja ni fursa mbadala inayowezasha watu ,vikundi,taasisi na kampuni sawa na mahitaji yao kuwekeza pesa zao kwa meneja wa mfuko(UTT AMIS) kisha meneja huwekeza fedha hizo katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAITANDIKA KMKM YA ZANZIBAR 1-0

 Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa KMKM ya Zanzibar, Musa Said katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga imeshinda 1-0. (Picha na...

View Article

TFF YAUPONGEZA UONGOZI WA COASTAL UNION

Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia ametuma salama za pongezi kwa uongozi mpya wa klabu ya Coastal Union uliochaguliwa mwishoni mwa wiki.Katika salamu zake kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WAKUU WA UKAWA WAKUTANA

Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakisikiliza hoja za wabunge wa vyama hivyo walioalikwa katika kikao cha Viongozi Wakuu (Summit) kinachokutana leo kupanga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IN LOVING MEMORY OF THE LATE DR KATALYEBA

The Late, Dr.Philbert O.Katalyeba****** Our darling dad, Always so good,unselfish and kind,None on this earth your equal we will find,Honorable and true in all your ways,Loving and faithful to the end...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA GLOBAL PEACE FOUNDATION LAANDAA KONGAMANO LA VIJANA LA KUJADILI AMANI

Na Dotto MwaibaleSHIRIKA la Global Peace Foundation limewataka Watanzania kudumisha amani iliyopo ili nchi yetu isije ikakumbwa na machafuko kama nchi za jirani.Akizungumza leo jijini  Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mdahalo wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere wataka amani, wapinga rushwa Uchaguzi...

 Mtoa mada Awadh Ali Said, akitoa mada kuhusu muungano na umuhimu wa kuzingatia misingi ya amani katika mdahalo huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ambao ulifanyika katika Ukumbi wa...

View Article

Magaidi watelekeza risasi 50

Na Bryceson Mathias, KibinduKUTOKANA na Msakao Mkali wa Magaidi uliokuwa ukiendelea kwenye Vitongoji na Vijiji vya Kibindu, Pera, Kwaluhombo, Negelo na Vitongoji vinavyozunguka eneo hilo la Mapigono,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA BENKI YA CRDB YAKABIDHI PASSO KWA MSHINIDI WA PROMOSHENI YA TUMA...

 Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto) akimkabidhi mfano wa funguo wa gari mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WA HABARI WACHANGISHA MILIONI 31 KUSAIDIA WENZAO

Mwenyekiti wa Kampeni iliyolenga kupata fedha kwa ajili ya kuwasaidia wanahabari wanaougua magonjwa sugu yakiwepo ya saratani, (MEDIA CAR WASH FOR CANCER) , Benjamin Thompson akizungumza na waandishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA NHC

 Naibu Katibu mkuu Tamisemi, Kagyabukama E.Kiliba akiingia katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa leo asubuhi kwenye viwanja vya Maonyesho vya Sabasaba (Mwalimu Nyerere) katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAMADHAN SINGANO 'MESSI' ASAINI MKATABA NA AZAM FC

Ramadhani Singano akionyesha jezi yake mpya ya timu ya AZAM FC aliyojiunganayo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na kuachana na klabu yake ya zamani ya Simba. (Picha na Habari Mseto Blog)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA KAZI ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akitoa maelezo kwa Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka, alipotembelea banda la NSSF wakati wa...

View Article


TWIGA STARS YAPANGWA NA WENYEJI

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo limetoa ratiba ya fainali ya michezo ya Afrika (All African Games), ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) imepangwa kundi A...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AVUNJA BUNGE RASMI, AZINDUA UKUMBI MPYA WA CCM MJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia Bunge la Tanzania na hatimae kulifunga. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Anna Makinda. (Picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANK OF AFRICA YAFUTURISHA WATEJA WAKE

Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Tanzania (BOA), Ammish Owusu Amoah akizungumza katika hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake na kufanyika katika hoteli ya Serena...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>