Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

RAMADHAN SINGANO 'MESSI' ASAINI MKATABA NA AZAM FC

$
0
0
Ramadhani Singano akionyesha jezi yake mpya ya timu ya AZAM FC aliyojiunganayo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na kuachana na klabu yake ya zamani ya Simba. (Picha na Habari Mseto Blog)
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi' akiweka sahihi ya dole gumba katika fomu ya mkataba wa usajili ya Azam FC na kuingia kandarasi ya miaka miwili.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>