Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

BENKI YA BENKI YA CRDB YAKABIDHI PASSO KWA MSHINIDI WA PROMOSHENI YA TUMA PESA NA SIMBANKING SHINDA PASSO

$
0
0
 Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto) akimkabidhi mfano wa funguo wa gari mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter Fundi katika hafla iliyofanyika kwenye viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akimkabidhi mfano wa funguo mshindi wa Promosheni ya ‘Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter Fundi, wakati wa hafla ya makabidhiano ya gari aina ya Passo kwa mshindi huyo iliyofanyika kwenye viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja wa benki hiyo Tawi la Mzumbe, Jane Maganga.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa Promosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo’, Peter Fundi (wa pili kulia) wakati wa hafla ya kukabidhi gari iliyofanyika kwenye viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mzumbe, Jane Maganga na Meneja Uhusiano wa benki hiyo, Godwin Semunyu (kulia). 
 Peter Fundi akiwa katika gari lake aina ya Passo.
Mshindi wa Prpmosheni ya 'Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo, Peter Fundi mkazi wa Morogoro akionyesha furaha yake baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya gari aina ya Passo.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza na waandishi wa habari.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>