Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI, MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WOTE WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA UTT (UTT-AMIS) WAMEPOKEA KWA HUZUNI MKUBWA HABARI YA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI MUASISI WA DHAMANA YA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEND OFF YA TUMPALE MWAISANGO YAFANA JIJINI MBEYA

Tumpale John Mwaisango(kulia) Bi. Harusi mtarajiwa akiwa pamoja na Mume wake Mtarajiwa Jeofrey Daniel Shipela (kushoto) katika nyuso za Furaha wakati wa sherehe za kumuaga .Hivi ndivyo ukumbi ulivyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YAWAFUTURISHA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA

Meneja wa Tigo Pesa Kanda ya Njanda za Juu Kusini Thomas Meitaron akitoa salamu za shukurani kwa niaba ya Tigo kwa wakazi wa Jiji la Mbeya bila kujali Dini kwa kujitokeza na kufuturu pamoja, alisema...

View Article

Waliotuhumiwa Mamluki Chadema Wavuliwa Uongozi

Na Bryceson Mathias, KilosaNGUVU ya Umma ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Ruaha, Jimbo la Mikumi, Wilaya ya Kilosa, Morogoro, wamewavua Uongozi waliokuwa Viongozi wao na kuweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diwani Tunduma awaaga wananchi

NA KENNETH NGELESI, TUNDUMADIWANI aliyemaliza muda wake katika Kata ya Tunduma kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Frank Mwakajoka (pichani) amewaaga wananchi wa kata hiyo huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA VIKAO VYA CCM NJIBI DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUZIONA TANZANITE, YOUNG SHE-POLOPOLO 2000

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake cwenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) dimbani jumamosi uwanja wa Azam Complex kucheza na timu ya Taifa ya Zambia chini ya miaka 20 (Young...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA HUAWEI ILIVYOZINDUA SIMU YA P8

 Mkurugenzi wa  Masoko na bidhaa wa Huawei ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Jaco Van Zyl akielezea matumizi  simu  mpya ya Huwei P8 wakati wa  hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika klabu ya Country...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU SABA WAKAMATWA NA POLISI KWA KUCHOMA MOTO KITUO CHA POLISI BUNJU

 JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam inawashikilia watu saba kwa tuhuma za kuchoma kituo kidogo cha Polisi kilichopo Bunju ‘A’ jijini Dar es Salam.Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM BADO WAKUNA VICHWA KUWAPATA WATAKAOINGIA TANO BORA

 Wajumbe wa Mkutano Mkuu, Emmanuel Nchimbi (shoto) na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Kificho wakisoma ujumbe mfupi katika simu.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA MPIGA AFUNGUA NUSU FAINALI YA MPINGA CUP

 Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga akiwasalimia kwa kuonesha vidole baada ya kuzikagua timu za Foma na Mtongani katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMR Yazinduwa Ripoti Kuyakabili Magonjwa ya TB, Maleria na Tropiko

Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mbando , Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti cha Magonjwa ya Binadamu cha Taifa (NIMR), Dk. Julius...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIRI WATAWALA TANO BORA ZA WAGOMBEA CCM

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari usiku wa kuamkia leo nje ya ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma baada ya kumalizika kwa Kikao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANO BORA WA CCM HAWA HAPA

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii nje ya ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma akidhibitisha taarifa iliyokuwa ikizagaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA UANDIKISHAJI KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA MKOA WA DAR...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwandishi ajitosha ubunge jimbo la Mbeyua vijijini.

Mwandishi wa Habari, Gordon Kalulunga akizungumza na wananchi katika viwanja vya mahubiri Mjini Mbalizi wakati akitangaza nia ya kugombea Ubunge jimbo la Mbeya vijijini (Picha na Kenneth Ngelesi)NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM WAANZA WAENDELEA MJINI DODOMA

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika Ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.(Picha kwa Hisani ya Michuzi Media)Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE TANZANITE YALALA 4-0 MBELE YA ZAMBIA

Waamuzi wa mchezo kati ya timu ya taifa ya ska ya Tanzania chini ya mkiaka 20 ya The Tanzanite wakiingia uwanjani wakati timu hiyo ilipopambana na Zambia katika mchezo wa kufuvu kucheza fainali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATU BORA WA CCM HAWA HAPA

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM umeteuwa majina matatu kati ya matano yaliyopendekezwa na wajumbe wa mkutano huo kwa ajili ya kuyajadili na hatimaye kupata jina moja la mgombea wa Urais kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI APITISHWA NA MKUTANO MKUU WA CCM KUWA MGOMBEA URAIS

Mkutano Mkuu wa CCM umemteua Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya chama hicho ambapo katika uteuzi huo Dk. Magufuli amepata kura zaidi ya 2000 na kuwashinda...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>