NHC yanyang’anya mashine za kufyatulia matofari
Katika kuhakikisha kuwa rasilimali za umma zinatunzwa, kutumika ipasavyo na kuhakikiwa, NHC imeendelea kuwakagua vijana waliopewa msaada wa mashine za kufyatulia matofali yatakayowezesha wananchi...
View ArticleNSSF WAIBUKA WASHINDI WA JUMLA MAONYESHO YA SABASABA
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi tuzo Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume baada ya kuibuka washindi wa jumla katika Maonyesho ya Biashara ya...
View ArticleSTARS KUWAVAA THE CRANES
Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager leo majira ya saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki itashuka dimba la Nakivubo kucheza na wenyeji Uganda 'The Cranes'.Mecho hiyo ya...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LANG'ARA MAONYESHO YA 39 YA SABASABA
Afisa Mwandamizi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Salvatory Hinju akitoa maelezo namna Shirika la Nyumba linavyofanya kazi zake kwa Wateja waliofika kwenye banda la...
View ArticleHali ya Ugaidi ni Shwali
JESHI la Polisi limesema, Hali ya Ugaidi iliyokuwa inawatishia Wananchi wa Kata ya Kibindu wilayani Bagamoyo hasa vijiji vya Pera, Kwaluhombo na Njeura mpakani mwa Mvomero, sasa ni ShwaliKamanda wa...
View ArticleUMITASHUMTA na Changamoto zake
Meneja mauzo wa Isere Sports, Rasul Ndee akionesha aina ya mipira inayofaa kuchezewa katikaviwanja mbalimbali hapa nchini. (Picha na Mpiga Picha Wetu) Mkurugenzi wa Masoko wa Isere, Abbas Ally...
View ArticleDC Mwanga watoa hofu na kuwapongeza Wananchi
Na Bryceson Mathias, Kibindu BagamoyoKUFUTIA Kukamatwa na Kuuawa kwa Magaidi, ambapo jana Matatu yalidakwa na Polisi na Silaha ya SMG, Risasi 50, Nondo Fupi 45 na Mabomu, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,...
View ArticleTAIFA STARS 1- THE CRANES 1
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premieum Lager imetoka sare ya bao 1- 1 dhidi ya wenyeji Uganda (The Cranes) katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za...
View ArticleRC DAR AONGOZA HARAMBEE YA WAANDISHI YA MEDIA CAR WASH FOR CANCER DAR ES SALAAM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadick akiosha pikipiki ya Blogger Mroki Mroki 'Father Kidevu' (kushoto kwake) wakati wa harambee kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya...
View ArticleMSAMA ATOA MSAADA KWA VITUO 10 VYA YATIMA DAR
NA FRANCIS DANDEKAMPUNI ya Msama Promotions chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, jana ilikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa vituo 10 vya kulea yatima ikiwa ni mwendelezo wa kusaidia makundi maalumu...
View ArticleMBATIA AZUNGUMZIA MWENDENDO MBOVU WA BUNGE
Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR Mageuzi, James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu na mwenendo mbovu wa Bunge.
View ArticleBENKI YA CRDB YARAHISISHA MAISHA VIWANJA VYA SABASABA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB...
View ArticleBENKI YA POSTA YATOA HUDUMA KWA UMAKINI MAONESHO YA SABASABA
Wateja wakipatiwa Huduma katika Banda la Benki ya Posta. BAADHI ya Wananchi wakikodolea macho huduma zinazotolewa na Benki ya Posta. WAKIJISAJILI kuwa na akaunti katika Benki hiyo. WAKIJISAJILI kuwa...
View ArticleMEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
Meya wa Ilala, Jerry Slaa akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM, Diwani wa...
View ArticleUtoaji huduma za afya bure waendelea kuvutia wengi Sabasaba
Baadhi ya wateja kwenye Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni kusubiri kumuona daktari ndani...
View ArticleDC MAVUNDE AIASA JAMII KUACHA UKATILI DHIDI YA WATOTO
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Anthony Mavunde akizungumza wakati wa tamasha la kupinga na kukataa vitendo vya kikatili dhidi ya watoto, lililofanyika katika viwanja vya mnara wa Mashujaa...
View ArticleBENKI YA CRDB YARAHISISHA MAISHA VIWANJA VYA SABASABA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Benki ya CRDB...
View ArticleJAJI MKUU WA TANZANIA OTHUMANI CHANDE ATEMBELEA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA...
JAJI Mkuu wa Tanzania, Othumani Chande (katikati) akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara, Jacqueline Maleko, pamoja viongozi wa Tantrade na Mahakama Kuu kutembelea Maonesho...
View ArticleMTIKILA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WATIA NIA WA CCM
Mwenyekiti wa DP, Mchungaji Christopher Mtikila akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dares Salaam leo kuhusu nia yake ya kutaka kuwafungulia mashtaka makada wa CCM kwa...
View Article