Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA BANDA LA NSSF

$
0
0
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Salim Khalfan alipotembelea banda hilo kwenye Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Na Mpiga Picha Wetu)
Aliyekuwa mjumbe wa Bodi ya NSSF, Mudhihir Mudhihir akipata maelezo kutoka kwa ofisa wa NSSF.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>