KAIRUKI HOSPITALI YAINGIZA MTAMBO MAALUMU WA UPASUAJI
NA MIKA NDABAHOSPITALI ya Kumbukumbu ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, imeingiza mtambo maalumu wa kisasa kutoka Kampuni ya Ethicon ya Marekani utakaokuwa ukitumika katika upasuaji wa kawaida...
View ArticleZIARA YA RAIS WA UJERUMANI KATIKA PICHA
Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck akimkabidhia zawadi Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Dk. Alex Malasusa alipotembelea kanisa hilo la kihistoria...
View ArticleTIC YAKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA NCHINI UJERUMANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC),Juliet Kairuki (wa pili kushoto) akizungumza katika mkutano maalum kati ya Uongozi wa TIC na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini...
View ArticleTanzania Early Childhood Development Network (TECDEN) Your partner in child...
Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN) is a network that is formed by various Organizations which are working to improve children livelihood in Tanzania.This Network was established in...
View ArticleKAIRUKI HOSPITALI YAINGIZA MTAMBO MAALUMU WA UPASUAJI
NA Mwandishi WetuHOSPITALI ya Kumbukumbu ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, imeingiza mtambo maalumu wa kisasa kutoka Kampuni ya Ethicon ya Marekani utakaokuwa ukitumika katika upasuaji wa...
View ArticleKILELE CHA WIKI YA SHERIA KATIKA PICHA
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Majaji.Rais Kikwete akizungumza katika hafla hiyo.Baadhi...
View ArticleTFF YAPATA OFISA HABARI MPYA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Baraka Kizuguto kuwa Ofisa Habari kuanzia Februari 1 mwaka huu.Kabla ya uteuzi huo, Kizuguto alikuwa Ofisa Habari wa klabu ya Young Africans,...
View ArticleTAASISI 11 ZA KIISLAM KUSUSIA KURA ZA MAONI
Naibu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam na Shura ya Maimam, Rajab Katimba(kushoto) akitoa tamko la kuungana na taasisi 11 kupinga kuipigia kura Katiba inayopendekezwa. Kulia ni Shekh, Hassan...
View ArticleBarcalys yazindua huduma za kuweka fedha kwenye mashine za ATMs
Add captionNa Mwandishi WetuBenki ya Barclays Tanzania imethibitishia umma wa watanzania ukuaji wake wa kasi wa teknolojia kwa kuzindua huduma mpya na ya kisasa ya kuweka pesa kwenye mashine zake za...
View ArticleSHY ROSE BHANJI AJITOLEA KUCHONGA BARABARA YA MBWENI - MALINDI
Mbunge wa Bunge kla Afrika Mashariki ambaye pia ni mkazi wa Mbweni, Shy Rose Bhanji akiwa na Mwenyuekiti wa Serikali ya Mtaa Mbweni-Malindi, jijini Dar es Salaam, Bariki wakisimamia ukarabati wa...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA MUINGILIANO WA MASAFA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIAISO 9001: 2008 CERTIFIEDTAARIFA KWA UMMAKUHUSU MUINGILIANO WA MASAFA YA EATV NA ITV KUPITIA KING’AMUZI CHA KAMPUNI YA STAR MEDIA KATIKA...
View ArticleKAMATI YA NIDHAMU YAWAADHIBU NYOSO, MORRIS
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu...
View ArticleAga Khan kuisaidia Hospitali ya Temeke
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (katikati) akiongozana na viongozi wa hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake leo katika hospitali hiyo. NA MWANDISHI WETU HOSPITALI ya...
View ArticleHANS MACHA ASHINDA KESI
NA MWANDISHI WETUMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga.Hayo yalithibitishwa leo...
View ArticleNAPE AFANYA ZIARA TANZANIA DAIMA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto) akipeana mkono Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alipotembelea ofisi za gazeti la Tanzania Daima. (Picha na Francis...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI,...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6,...
View ArticleSEND OFF YA ZOURHA MALISA WA TIMES FM RADIO YAFANA DAR
Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya kuagwa kwenye Ukumbi wa...
View ArticleUTT-AMIS YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YA FEDHA KWA WABUNGE
Ofisa Masoko wa Kampuni ya UTT, Bi. Kilave (kulia) akiwa na Ofisa Mkuu wa Kampuni ya Maendeleo ya Miundombinu ya UTT-PID, Shakiru Abdulkarim wakitoa elimu ya Uwekezaji kwenye Masoko ya Fedha kwa...
View ArticleYANGA YAJICHIMBIA KILELENI, YAIFUNGA MTIBWA SUGAR 2-0
Beki wa Mtibwa Sugar, Shaban Nditi akimdhibiti beki wa Yanga, Mbuyu Twite.Mshambuliaji wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akichuana na beki wa Mtibwa Sugar, David Luhende wakati wa mchezo wa Ligi...
View Article