Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

KILELE CHA WIKI YA SHERIA KATIKA PICHA

$
0
0
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 
Majaji.
Rais Kikwete akizungumza katika hafla hiyo.
Baadhi ya wageni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju (mstari wa nyuma katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, Spika wa Bunge, Anne Makinda na Waziri wa Katiba na Sheria, Asha Rose Migiro.
Viongozi wa vyama vya siasa katika picha ya pamoja.

Viongozi kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiwa katika hafla hiyo.
Brass Band ya Jeshi la Polisi.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini iliyofanyika jijini Dar es Salaam.


Jaji Mkuu akikagua gwaride rasmi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>