FILIKUNJOMBE AWATAKA VIONGOZI WA KISIASA KUTOWASAHAU WANANCHI WALIOWACHAGUA...
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akitoa salama za pole kwa wafiwa wakati wa mazishi ya MNEC wilaya ya Ludewa Elizabeth HauleMchumi wa UWT mkoa wa Njombe Dr Suazana Kolimba...
View ArticleWadau waomba kurudishwa kituo cha Mwenge
WADAU wa usafiri waliokuwa wakitumia Kituo cha Mabasi (Daladala), Mwenge wameiomba serikali kufungua kituo hicho kilichokuwa kimefungwa Juni mwaka jana, kuhamishia shughuli zake Makumbusho.Akizungumza...
View ArticleMGOGORO ULIOZUIA MRADI WA MAJI LUGULUNI WAPATA SULUHU
MGOGORO uliyokwamisha mradi mkubwa wa maji katika vitongoji vya Liwale na Kwamsamati, vilivyoko mtaa wa Luguluni Kata ya Kwembe wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam sasa umepatiwa suluhu.Mradi huo,...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUMA SALAMA ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA ILIYOPOTEZA WATU SITA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya (wa tatu kulia) wakiomboleza msiba wa familia ya watu sita waliofariki kwa ajali ya moto juzi. Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani...
View ArticleIVORY COAST MABINGWA AFRIKA
Kocha wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Herve Renard akishangilia baada ya timu yake kuifunga Ghana katika mchezo wa fainali ya michuano ya Afcon kwa mikwaju ya penalti 9-8. Wachezaji wa Ivory Coast...
View ArticleNAPE: HAKUNA MGOMBEA ATAKAYEPITISHWA CCM KWA PRESHA ZA MAKUNDI, NI KWA...
NA BASHIR NKOROMOChama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti...
View ArticleWAKILI: MAHAKAMA IMEMTENDEA HAKI MACHA
NA MWANDISHI WETUUPANDE wa utetezi katika kesi iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara Hans Macha, umesema Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetenda haki kwa kuthibitisha kuwa mteja wao alinunua nyumba...
View ArticleSERIKALI YAIPONGEA BENKI YA ACCESS KUFUNGUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Access wakati alipokuwa mgeni rasmi katika sherehe za uzinduzi wa tawi la benki hiyo jijini Mbeya...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliketi jana Jumapili tarehe 08 Februari, 2015 katika kikao chake cha kawaida. Pamoja na kujadili maandalizi ya Mkutano Mkuu wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA WATU SITA WA FAMILIA MOJA...
Mama mzazi wa Kapteni David Mpila akiweka udongo katika kaburi la mtoto wake marehemu David Mpila leo wakati wa mazishi ya watu sita waliokufa kwa ajali ya moto baada ya nyumba yao kuteketea kwa moto...
View ArticleMOTO WAUNGUZA JENGO LA NHC
Jengo la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), lililopo makutano ya mitaa ya Libya na Mosque jijini Dar es Salaam likiteketea kwa moto ambao ilidaiwa ulisababishwa na hitilafu ya umeme. (Na Mpiga Picha...
View ArticleTBN WATOA UBANI KWA MWANAHABARI CONRAD MPILA ALIYEFIWA NA WATU SITA WA...
Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (Tanzania Bloggers Network - TBN ), Joachim Mushi (kulia) akitoa pole na kisha kukabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000/-) jana...
View ArticleMKUU WA SHULE YA SEKONDARI AMKIMBIA MBUNGE CHIKU ABWAO
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO akikagua jengo lilokumbwa na ajali ya moto. Mbunge CHIKU ABWAO akiwa katika eneo la nje ya jengo liloungua.Na...
View ArticleRais Jakaya Kikwete azindua jengo la kibiashara (KILIMANJARO COMERCIAL...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete azindua rasmi jengo la kitega uchumi mjini moshi Mradi huu ni wa ubia kati ya NSSF, Tanzania Red Cross (TRCS), UMATI na Tanzania Girl...
View ArticleAZAM FC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 5-2
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la tano dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Azama Complex jijini Dar es Salaam. Azam...
View ArticleRed Arrows FC kujifua Tanzania
TIMU ya Red Arrows FC ya Zambia, inatarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam, Tanzania Jumatatu ya wiki ijayo, kwa ajili ya kuweka kambi ya mafunzo ya wiki moja kujindaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya...
View ArticleKamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni Afrika Kusini
Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (nec) YAKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto), akisisitiza jambo kwa Mwenyekiti wa NCCR- Mageuzi, James Mbatia (kulia) na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa, walipokutana katika...
View Article